Tangu michuano ii ianzishwe Simba hajawahi kutwaa kombe ili la Kagame nje ya Tanzania, Ina maanisha Simba ni timu ya kawaida sana inayoshiriki Kagame Cup ikiwa nje ya mipaka ya Tanzani . Yanga hawezi ihofia Simba ambayo ikiwa ugenini inafikia kufungwa mbaka goli tano katika mechi moja.Sitoshangaa Yanga wakikataa mwaliko kwa kuwa Simba yupo huko lazima watatafuta pa kutokea
Kenya wana gor mahia tz tuna simba na azam kwani tuongezewe ya tatu wakati kwao Kenya kuna moja tu?Kenya ipo Gor Mahia
Anaenda Kama bingwa wa Kenya
Kweli mkuu, huyo musonye ye huwa anatizama masilahi tu, halafu sijui ni katibu wa cecafa wa kudumu maana hajawi badilishwa miaka mingi sana, tangu Tarimba rais ya yangaKwanini haaliki timu za kwao Kenya?
Bazazi
Kwann asizialike bandar, fc leapard, kariabong, sofapaka n.kKenya ipo Gor Mahia
Anaenda Kama bingwa wa Kenya
Sio plan ya kocha, yani uialike timu kwa kushtukiza ili, wachezaji wengi wameachwa, pia ndo kwanza wanaanza kusajili na wengine wako likizo nani atawasimamia, zahera hayupo, na mwandila yuko kwao zambia likizoWatakuwa wajinga Ni platform nzuri ya kutengeneza timu ikizingatia wanasajili timu mpya kabisa
Mkuu hivi takwimu za Simba na Yanga kukutana zipoje?maana unaropoka bila kuwa kuwa na takwimuYanga watakataa kwa kuilimbia simba
Ukiona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndo fursa yenyewesimba na yanga ni fursa ila yanga hawatatia timu
Yanga ni maarufu Africa mashariki na kati kuliko Timu yoyote TzUkiona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndo fursa yenyewe
Ni simba na yanga tu ndio team zenye fan base kubwa nje ya nchi yao, hivyo hapo wameangalia maslahi kwanzaKwann asizialike bandar, fc leapard, kariabong, sofapaka n.k
Yanga ni full kubebwa.Shirikisho la soka Africa Mashariki ( CECAFA ) limeiarika klabu ya Yanga katika michano ya Kagame CUP itakayofanyika Rwanda ili ipate maandalizi ya kushiriki vizuri michuano ya klabu bingwa Africa.
Azam itashiriki Kama bingwa mtetezi Huku Simba ikishiriki Kama bingwa was Tanzania
Timu zingine zilizoalikwa Ni AS Vita DR Congo na Zesco ya ZambiaView attachment 1117756
Wanajiandaa na caf champions league.Sitoshangaa Yanga wakikataa mwaliko kwa kuwa Simba yupo huko lazima watatafuta pa kutokea
Mkuu hivi takwimu za Simba na Yanga kukutana zipoje?maana unaropoka bila kuwa kuwa na takwimu
Unawezaje kumkimbia kitoga chako wakati kila kitu takwimu zinanibeba,nikiamua najipigia tuHahah. Kwa hiyo takwimu ndio zitaifanya yanga wasiikimbie simba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sitoshangaa Yanga wakikataa mwaliko kwa kuwa Simba yupo huko lazima watatafuta pa kutokea
Hahahah amua sasa tuone. Maana ushakimbia sanaUnawezaje kumkimbia kitoga chako wakati kila kitu takwimu zinanibeba,nikiamua najipigia tu