Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kama title inavyoonekana, Manara amesitishiwa na klabu yake mamlaka ya kuongea na vyombo vya habari akiwa mbele ya nembo za klabu na wadhamini wake.
Hii ni dalili tosha kwamba Yanga imetii amri ya kumuhusisha Manara na uongozi wa klabu. Natoa pongezi kwa uongozi wa klabu ya wananchi kufikia uamuzi wa kumuacha Manara apambanie haki yake bila klabu kukiuka maagizo ya hukumu