Yanga wameshamchoka wametumia mbinu ya kijasusi kumtema wamemjaza upepo aendelee kuropoka ili akipigwa kabari ya mbao na misumari akafie mbali bila wao kuhusika.Kama title inavyoonekana, Manara amesitishiwa na klabu yake mamlaka ya kuongea na vyombo vya habari akiwa mbele ya nembo za klabu na wadhamini wake. Hii ni dalili tosha kwamba Yanga imetii amri ya kumuhusisha Manara na uongozi wa klabu. Natoa pongezi kwa uongozi wa klabu ya wananchi kufikia uamuzi wa kumuacha Manara apambanie haki yake bila klabu kukiuka maagizo ya hukumu
View attachment 2304286
hakuna wa kumbeba kabaki mwenyeweKama title inavyoonekana, Manara amesitishiwa na klabu yake mamlaka ya kuongea na vyombo vya habari akiwa mbele ya nembo za klabu na wadhamini wake.
Hii ni dalili tosha kwamba Yanga imetii amri ya kumuhusisha Manara na uongozi wa klabu. Natoa pongezi kwa uongozi wa klabu ya wananchi kufikia uamuzi wa kumuacha Manara apambanie haki yake bila klabu kukiuka maagizo ya hukumu
View attachment 2304286
Ila maelezo yake alikuwa anajifichia YangaNadhani alienda kuongea individual issues ndo maana hakuna nembo ya club wala ya GSM
Umekuwa msemaji mpya wa yanga mkuuYanga wameshamchoka wametumia mbinu ya kijasusi kumtema wamemjaza upepo aendelee kuropoka ili akipigwa kabari ya mbao na misumari akafie mbali bila wao kuhusika.
Hii ni njia alitumia mwendazake kumtosa bashite kwa kumruhusu kwenda kugombea ubunge kigamboni huku akijua fika hatatoboa na hadithi ikaishia hapo.
Napenda kumshauri Haji Manara akubali yaishe na aende akaombe ajira GSM, hawa wanoa uwezo wa kumuajiri kwani ndio walio mjaza upepo akaondoka SIMBA SPORTS CLUB. Sasa nashauri wamsitiri mndani wao huyu.Yanga wameshamchoka wametumia mbinu ya kijasusi kumtema wamemjaza upepo aendelee kuropoka ili akipigwa kabari ya mbao na misumari akafie mbali bila wao kuhusika.
Hii ni njia alitumia mwendazake kumtosa bashite kwa kumruhusu kwenda kugombea ubunge kigamboni huku akijua fika hatatoboa na hadithi ikaishia hapo.
ha ha haUmekuwa msemaji mpya wa yanga mkuu
ULIMI UMEMPONZA! Na bado utazidi kumponza kwani anadhani anajua!πππView attachment 2304291
tuhamie wapi kwenye makombe mkuu ! suggestion please!Hii timu ni ya mabogaz sio ya wananchi timu gani inafungwa na timu iliyotoka tanga .
Ifikie muda mtu mwenye akili ahame yanga maana akiendelea nayo atakuwa bogaz times
nafikiri anajuaULIMI UMEMPONZA! Na bado utazidi kumponza kwani anadhani anajua!
Dah!,ubunifu wa hali ya juuπππView attachment 2304291
Ushabikie njee au hata timu ndogo mtibwa sugar,azam fc,sijui nanini ila mimi nipo Simba timu yenye msimamo tokea miaka 3 nanyonya hadi sasa.tuhamie wapi kwenye makombe mkuu ! suggestion please!
Unafikiri anajua nini?nafikiri anajua