mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Hata mchezee jamhuri...beki 3 ni beki 3 tuu..hata avae tenge anaonekana ubeki 3 wake...poleni lakiniDawa yao mwakani tunachezea kirumba tu
Sharti la kutupa pole au kupongeza ni kwanza uvae deraHata mchezee jamhuri...beki 3 ni beki 3 tuu..hata avae tenge anaonekana ubeki 3 wake...poleni lakini
Ni fahari kwa taifaNi historia iliyotukuka
Hongereni Kwa kuchukua kombe la rekodi
Umevaa dera?Sharti la kutupa pole au kupongeza ni kwanza uvae dera
Hongereni uto Kwa kunyanyua kombe la historiaUmevaa dera?
Umevaa dera?Hongera kwa kuchukua kombe la mechitano kapu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Paaa paa paaa paaa pyuuuuuh...[emoji41]
Bila kupepesa macho mbaya wetu ni jirani yetu, hataki Yanga afanikiwe.Umevaa dera?
Mimi kama mshabiki wa Yanga, kwa kweli sina deni nao. Vijana wamepambana sana.Yanga hongereni sana tena sana, ni rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na timu yeyote afrika kushinda mechi zaidi ya tano away?
Big up sanaaa
Nb
Nyumbani kuna wanga na wachawi
Unawaliwaza?๐๐๐๐Yanga hongereni sana tena sana, ni rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na timu yeyote afrika kushinda mechi zaidi ya tano away?
Big up sanaaa
Nb
Nyumbani kuna wanga na wachawi
Kwa hiyo mlivyokuwa mnaenda kupokea wapinzani wa jirani yenu airport ni kutaka jirani yenu afanikiwe? Uto ni uto..Bila kupepesa macho mbaya wetu ni jirani yetu, hataki Yanga afanikiwe.