Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 4, 2023 #21 Yagangwe yajayo...
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jun 4, 2023 #22 man dunga said: Kwa hiyo mlivyokuwa mnaenda kupokea wapinzani wa jirani yenu airport ni kutaka jirani yenu afanikiwe? Uto ni uto.. Click to expand... Yanga huwa vichwa wanawaazimisha vichaa.Wanapokea wageni?Very hopeless materials!πππ
man dunga said: Kwa hiyo mlivyokuwa mnaenda kupokea wapinzani wa jirani yenu airport ni kutaka jirani yenu afanikiwe? Uto ni uto.. Click to expand... Yanga huwa vichwa wanawaazimisha vichaa.Wanapokea wageni?Very hopeless materials!πππ
rukia16 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2020 Posts 2,977 Reaction score 30,973 Jun 4, 2023 #23 Ila ukweli tuseme Simba wameumia sana kwa Yanga kufika hapo ilipofika. Poleni sana.,..[emoji3577][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]hongera sana kwa wajangwani
Ila ukweli tuseme Simba wameumia sana kwa Yanga kufika hapo ilipofika. Poleni sana.,..[emoji3577][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]hongera sana kwa wajangwani
H HOPEfull JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 1,882 Reaction score 2,313 Jun 4, 2023 #24 Yanga wameupiga mwingi mwaka huu hongera zao.
sayoo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2014 Posts 5,280 Reaction score 7,930 Jun 4, 2023 #25 3 Angels message said: Hongereni kwa kutuletea hilo kombe hatukujua ndiyo malengo yenu hayo Click to expand... Malengo ya yanga msimu huu ilikua ni kufika makundi , Hapa Kwa yanga ni achievement Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
3 Angels message said: Hongereni kwa kutuletea hilo kombe hatukujua ndiyo malengo yenu hayo Click to expand... Malengo ya yanga msimu huu ilikua ni kufika makundi , Hapa Kwa yanga ni achievement Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Jun 4, 2023 #26 Na kombe wakabeba
mahindi hayaoti mjini JF-Expert Member Joined Nov 29, 2022 Posts 2,120 Reaction score 2,709 Jun 4, 2023 Thread starter #27 Ni yanga tu ndio wanaweza fanya haya Hata jamaa wanakubali, japo kimya kimya
mahindi hayaoti mjini JF-Expert Member Joined Nov 29, 2022 Posts 2,120 Reaction score 2,709 Jun 4, 2023 Thread starter #28 Naskia kuna waarabu walijinyea jana uwanjani, Famchezo nini Na waarabu koko nao walijinyea kwenye vibanda umiza Ule mziki ni wa kiwango cha mars kilee
Naskia kuna waarabu walijinyea jana uwanjani, Famchezo nini Na waarabu koko nao walijinyea kwenye vibanda umiza Ule mziki ni wa kiwango cha mars kilee