Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Yanga Sc ya dar leo imeitandika Singida United kipigo cha kikatili na hasira kali cha bao 3-1
Katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa/Mkapa Dsm. Mchezo huo uliokuwa wa piga nikupige,mkali na wenye kuonesha soka la kitabuni soka la kuvutia...mchezaji wa yanga mahiri kwa jina la ykpe leo alifanikiwa kutumbukiza bao huku lingine likifungwa na mrisho ngasa na godfrey.
Mchezo ulikuqa mkali huku yanga wakionesha soka kali la kuvutia.singida nao hawakuwa nyuma walipambana sana wakipiga pasi za hapa na pale. Yanga walionesha soka la kiwango cha juu sana ktk game iliyoshuhudiwa na watu mbalimbali.
Huu ni ujumbe mzito kwa simba kuwa kipigo chao kinakuja siku watakapokutana tena.