Yanga yafanya mauaji - Yatuma ujumbe wa kutisha kwa Simba

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Yanga Sc ya dar leo imeitandika Singida United kipigo cha kikatili na hasira kali cha bao 3-1

Katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa/Mkapa Dsm. Mchezo huo uliokuwa wa piga nikupige,mkali na wenye kuonesha soka la kitabuni soka la kuvutia...mchezaji wa yanga mahiri kwa jina la ykpe leo alifanikiwa kutumbukiza bao huku lingine likifungwa na mrisho ngasa na godfrey.

Mchezo ulikuqa mkali huku yanga wakionesha soka kali la kuvutia.singida nao hawakuwa nyuma walipambana sana wakipiga pasi za hapa na pale. Yanga walionesha soka la kiwango cha juu sana ktk game iliyoshuhudiwa na watu mbalimbali.

Huu ni ujumbe mzito kwa simba kuwa kipigo chao kinakuja siku watakapokutana tena.
 
yaani simba ni litim la ajabu kweli kweli, halipati ushindi bila kuhonga au kuipulizia sumu timu pinzani, kazi kweli kweli, sijui hako ka mchezo kenu ka kupuliza sumu mtakaacha lini?
 
Mwenzangu...hata najua basi? Inabidi tuwaulize. Nami naamini kuna viongozi wa yanga na wachezaji wamehongwa na wakapuliziwa sumu.si kuna report ya madaktari ipo?tukawashtaki.

yaani simba ni litim la ajabu kweli kweli, halipati ushindi bila kuhonga au kuipulizia sumu timu pinzani, kazi kweli kweli, sijui hako ka mchezo kenu ka kupuliza sumu mtakaacha lini?
 
😂😂😂😂😂 Aliyeandika hiyo thread lazma atakuwa msimbazi damudamu.
 
Singida waliofungwa na Yanga 3-1 simba ilitoka kuwafunga 8-0,sasa hivi yanga wanacheza kwa kujifurahisha tu maana hawaendi popote.

Simba tukianza michezo ya kimataifa naomba mje uwanjani kushabikia timu zenu zile za nje ili tupate mzuka,mwaka jana tuliwabeba mkaenda kimaifa mkaanza kututusi,mwaka huu hiyo mbeleko tumeikataa huruma yetu ilituponza
 
Watakuwa na kazi ya kubadirisha timu za kushangilia na kulazimisha urafiki
 
yaani simba ni litim la ajabu kweli kweli, halipati ushindi bila kuhonga au kuipulizia sumu timu pinzani, kazi kweli kweli, sijui hako ka mchezo kenu ka kupuliza sumu mtakaacha lini?
Alisikika mwendawazimu mmoja wa utopolo akiongea peke yake
 
  • Thanks
Reactions: Tui
haka kamchezo ka kupulizia dawa za kulevya tim pinzani na hasa kipindi cha pili sijui mikia watakaacha lini?
 
Kuna tofauti ndogo sana kati ya timu ambayo haishiriki mashindano ya kimataifa na timu inayoshiriki michezo ya kimataifa lakini inaaga round ya kwanza.
Unapiga bomu mochwari unashangilia umeua? Masikini utopolo,hawachezi mashindano ya kimataifa hadi 2030.
 
Umetukumbusha vile vipigo vyenu vya kupigwa mkono kila mechi, ule msimu wetu pendwa umekaribia tena.
Singida waliofungwa na Yanga 3-1 simba ilitoka kuwafunga 8-0,sasa hivi yanga wanacheza kwa kujifurahisha tu maana hawaendi popote.

Simba tukianza michezo ya kimataifa naomba mje uwanjani kushabikia timu zenu zile za nje ili tupate mzuka,mwaka jana tuliwabeba mkaenda kimaifa mkaanza kututusi,mwaka huu hiyo mbeleko tumeikataa huruma yetu ilituponza
 
Umesahau nye mna historia ya kupigwa 7 kimataifa.

Nye utopole ni kama vichekesho
Umetukumbusha vile vipigo vyenu vya kupigwa mkono kila mechi, ule msimu wetu pendwa umekaribia tena.
 
Huruma ilituponza wakaishia kutuloga mpk tukatoka mapema
Singida waliofungwa na Yanga 3-1 simba ilitoka kuwafunga 8-0,sasa hivi yanga wanacheza kwa kujifurahisha tu maana hawaendi popote.

Simba tukianza michezo ya kimataifa naomba mje uwanjani kushabikia timu zenu zile za nje ili tupate mzuka,mwaka jana tuliwabeba mkaenda kimaifa mkaanza kututusi,mwaka huu hiyo mbeleko tumeikataa huruma yetu ilituponza
 
Yanga Sc ya dar leo imeitandika Singida United kipigo cha kikatili na hasira kali cha bao 3-1

Katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa/Mkapa Dsm. Mchezo huo uliokuwa wa piga nikupige,mkali na wenye kuonesha soka la kitabuni soka la kuvutia...mchezaji wa yanga mahiri kwa jina la ykpe leo alifanikiwa kutumbukiza bao huku lingine likifungwa na mrisho ngasa na godfrey.

Mchezo ulikuqa mkali huku yanga wakionesha soka kali la kuvutia.singida nao hawakuwa nyuma walipambana sana wakipiga pasi za hapa na pale. Yanga walionesha soka la kiwango cha juu sana ktk game iliyoshuhudiwa na watu mbalimbali.

Huu ni ujumbe mzito kwa simba kuwa kipigo chao kinakuja siku watakapokutana tena.
Hivi mke akimpiga mke wa jirani pia ni ujumbe kwa mumewe aliyezoweya kumpiga kila uchwao?
Mke atabaki kuwa mke tu kwa mume,, na kichapo kipo pale pale..
 
Back
Top Bottom