Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

hayo pia NI mawazo mazuri.
ILA mama NI mama
HAPINGWI.
yanga waache bangi na kutegemea waganga
Angekuja Half time mbona ingeekaa poa tu Tena bonge la sapraiz kipindi hiko mnyama tushemtoboa tundu
 
Yani rais anahutubia mnaacha kumsikiliza mnaenda kuangalia mpira.. Kitabu cha mwinyi kilikuwa na umuhmu zaidi kuliko mashabki waliopoteza muda na viingilio mwisho wa siku wakaishia kupgwa mabomu..
 
MECHI YA YANGA NA AZAM ILISOGEZWA MBELE - ikatolewa sababu.
MECHI YA BIASHARA NA YANGA ILISOGEZWA MBELE - ikatolewa sababu.

MECHI YA SIMBA NA YANGA IMESOGEZWA MBELE - haijatolewa sababu ( WHY.!!)? @Tanfootball

NCHI NZIMA HATUJUI SABABU ZAIDI YA WAZIRI WA MICHEZO TU- @innobash
 
Back
Top Bottom