DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Yanabadilika Mkuu Kutokana na Sheria za CAFMatokeo ya mpira hayabadilishwi hata Kama mtu angekufa
Kulingana na Kanuni za CAFCLHukumu ya tukio la aina hii itakuwa nini?
1. Refa kuhukumiwa.
2. Mechi kurudiwa
3.Uto kupewa ushindi?
4. Nk
Hebu wqjuzi mkuje pande hii Uto Leo moja haiendi ,mbili haisogeiππ
Kosa La Mamelod ni lipi?.Kulingana na Kanuni za CAFCL
Hukumu itakuwa Hivi..
View attachment 2955580
- Refa kupewa Adhabu
- Mamelody kufungiwa miaka Mitatu kujihusisha na Mechi za CAF
- Yanga kupewa nafasi kuingia Nusu fainali
Unajua GSM Anawahadaa Yanga Bure Hapo Hakuna Jipya Zaidi MengineyoMatokeo ya mpira hayabadilishwi hata Kama mtu angekufa
πππKosa La Mamelod ni lipi?.
Safi sanaView attachment 2955551
View attachment 2955552
View attachment 2955553
#Tuko Pamoja na Nyinyi Mpaka FIFA
Ile world cup naikumbuka. Lakini yatupasa tufahamu kwamba kila kitu kina taratibu na sheria zake na uzuri mleta uzi kaziweka kwenye baadhi ya post zake kwenye huu uzi ikowa kama sintofahamu unayooelezea ikitokea busara za sheria ni zipi ili haki ipatikane.Unajua GSM Anawahadaa Yanga Bure Hapo Hakuna Jipya Zaidi Mengineyo
World Cup Iliyochezwa South Africa
Germany vs England
Kuna Goal Lilipwa Moja Likaingia Wazi Ila Refa Alikataa Na Hakuna Jipya
Haijalishi hukumu itakuwa rafiki kwetu au lah muhimu hatujakubali kushindwa kinyonge.View attachment 2955551
View attachment 2955552
View attachment 2955553
#Tuko Pamoja na Nyinyi Mpaka FIFA
Matokeo hayoto badilika, tuvumilie tu ndio mpira. Hapo refa ndiye atakayepewa adhabu na wenzake wa VAR.View attachment 2955551
View attachment 2955552
View attachment 2955553
#Tuko Pamoja na Nyinyi Mpaka FIFA