Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

By the way, HIVI KIONGOZI WA CHAMA CHA SOKA KUWA NA TIMU KWENYE MASHINDANO AMBAYO CHAMA HICHO CHA SOKA KINAYASIMAMIA, SIYO CONFLICT OF INTEREST?
GSM anayemiliki team zaidi ya 1 ktk league husika je? Hili hulioni?
 
Naona unajitahidi leo kila uzi kujichekesha kama Malaya kaona pesa. Unanijiliwaza jana kubamizwa 2 kwa nunge. Una kazi ya kujichekesha tu toka jana kwenye kila uzi.
Mbona una hasira sana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe akili huna, ushahidi wa video upo na goli la wazi lile la Yanga limekataliwa sbb ya match fixing, alafu mambo ya Ihefu ni issue tofauti, acha kuwa shoga wa mpira unachanganya mambo sana wewe nimalizie nyoko kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukamatwe haraka, kichaa kishakupanda kichwani. Woiiiih
 
Mkuu rejea Mechi ya kufuzu fifa Wualification ya Senegal na South afrika mwaka 2017..
Rejea mechi ya Ligi ya South Africa, a match between South African clubs Polokwane City and Baroka FC in the South African...
Icnidence zinafanana na mechi zilirudiwa
Okay hizo sikuwahi kuzifuatilia mkuu.
 
Naona wameomba waliokosea wawe punished au kama kuna uwezekano wapewe any relief ambayo CAF wataona kwamba ni Fair.... Hapo wametumia busara sababu matokea kama haya kubadilishwa haiwezekani zaidi ya ku-punish waliofanya walichofanya kama wataona kuna uzembe umetendeka - Unless kama kuna ukweli wa match fixing.....

England walitolewa kwenye Word Cup na Goli la Mkono (Hand of God) ila ndio hivyo Refa akishasema mpira uwekwe kati basi unaweka kati and that is that.....
 
Back
Top Bottom