Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

Hivi lile goli la Yanga vs Ihefu, Ihefu wangeandika barua kama hii kwenda TFF hukumu ingekuwaje?
 
Hivi lile goli la Yanga vs Ihefu, Ihefu wangeandika barua kama hii kwenda TFF hukumu ingekuwaje?
Wewe akili huna, ushahidi wa video upo na goli la wazi lile la Yanga limekataliwa sbb ya match fixing, alafu mambo ya Ihefu ni issue tofauti, acha kuwa shoga wa mpira unachanganya mambo sana wewe nimalizie nyoko kabisa
 
Yaani hata kama haitabadilisha matokeo lakini ipaze sauti kwa menejimenti ya CAF kwa uhuni uliofanyika jana[emoji847]
 
Kitu ambacho uto kinawasumbua ni kutojua tofauti ya VAR na Goal line technology. VAR haiangalia kama mpira umevuka mstari au haujavuka mstari bali goal line technology ndio inafanya hiyo kazi.
VAR inamsaidia mwamuzi kupata marejeo ya incident yoyote inayotokea kwenye uwanja. Tafsi ya incident hiyo inabaki mikononi mwa refa.
Tuhuma za match fixing ni kubwa sana inabidi mwanasheria wa uto ajipange sana kutoa uthibitisho wa uwepo wa match fixing.
Kuna game ya NBC uto alipewa goli dhidi ya Ihefu wakati mpira ulidundia ndani lakini hakuna aliyeandika barua kwenda TFF.
Dhulma inaumuza sana.
Ndio maana nimesema hujielewi, hiyo goal line technology bado haijafika kwetu. Mkombozi ni VAR tu.
 
H
Hukumu ya tukio la aina hii itakuwa nini?
1. Refa kuhukumiwa.
2. Mechi kurudiwa
3.Uto kupewa ushindi?
4. Nk
Hebu wqjuzi mkuje pande hii Uto Leo moja haiendi ,mbili haisogei😀😀
Hapa namuona refa tu ndio kaingia 18 , swala la kurudiwa mechi au kubadilishwa matokeo hiyo tutaletewa maswala ya mechi ikishapita matokeo yamewekwa hairudiwi
 
Acheni kudanganya watu, yaani kosa la refarii ndio kosa la timu? Inaa maana hao FIFA hawakuwa wanajua kuwa Motsepe ndio mmiriki wa mamelod?!! Kwani duniani hilo ndio goli la kwanza kukataliwa?!! CAF hawana goaline technology, ndio ingesaidia vizuri, VAR kwenye hali kama ile haimsaidii sana mwamuzi, mnaanza kuleta siasa zenu.
''VAR kwenye hali kama ile haimsaidii sana mwamuzi"
kwahiyo kauli yko sitaki kupoteza mda kubishana na ww inaonekana hujui kazi ya VAR
 
Hukumu ya tukio la aina hii itakuwa nini?
1. Refa kuhukumiwa.
2. Mechi kurudiwa
3.Uto kupewa ushindi?
4. Nk
Hebu wqjuzi mkuje pande hii Uto Leo moja haiendi ,mbili haisogei[emoji3][emoji3]
Tatu haikaribii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni move nzuri.

Japo matokeo hayatobadilika, na hukumu haitakuwa wazi..... ila kuna watu watakula pesa nyingi za Motsepe ili watulie.
Pesa hampati na mamelodi wanacheza nusu.
 
Back
Top Bottom