chariti
JF-Expert Member
- Aug 18, 2023
- 362
- 748
-Hoja yako ni nini kolo? kwamba yale yalikua makosa ya kibinadamu ya referee auUna ushahidi kuwa masandawana wamehusika?
Matokeo ya magoli kukataliwa yapo toka miaka na miaka na hakuna mabadiliko pamoja ma sheria kuwepo
Ushindi wa mezani mara nyingi ni pale mmoja hakutokea uwanjani
Ila pale arabs
Timu ya kutoka iran na saudia moja ya saudia ili kataa kuingia uwanjani lakini hakuna matokeo ya mezani yalitolewa na ilikuwa kombe kama hili la CAF
- Barua inaomba ufanyike uchunguzi wewe unataka ushahidi kabla ya uchunguzi akili gani hizi kolo au umepiga gambe
-Mimi shabiki na mwanachama wa yanga nataka uchunguzi kwenye sintofahamu kama ile kwanini refa hakwenda kwenye var
-boli ni mchezo wa wazi ukiona kitu hakiko sawa lazima uhoji kwa manufaa ya boli acha sigara bwege kolo