Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

Tunajua huu ni ugeni wenu tu kwenye CCL
MTAZOEA TU 😂😂😂😂
 
Una ushahidi kuwa masandawana wamehusika?

Matokeo ya magoli kukataliwa yapo toka miaka na miaka na hakuna mabadiliko pamoja ma sheria kuwepo

Ushindi wa mezani mara nyingi ni pale mmoja hakutokea uwanjani

Ila pale arabs
Timu ya kutoka iran na saudia moja ya saudia ili kataa kuingia uwanjani lakini hakuna matokeo ya mezani yalitolewa na ilikuwa kombe kama hili la CAF
Soma history ya Mamelodi kwenda nusu fainali na wao pia walipata ushindi wa mezani baada ya kupinga ushindi wa timu pinzani I can't remember clearly lakini nadhani ni TP Mazembe !Kwa hiyo chochote kinawezekana acha Yanga wajaribu bahati yao, though Jana nao walikuwa wanyonge wangegomea mchezo mpk VAR iusishwe.
Pili mbona sijaiona refa akitoa Kona kana alikataa lile Bado maana Williams au beki mwishowe aliutoa mpira nje.
 
Hakuna jipya hapo may be zaidi zaidi refarii kupewa adhabu,,,, matokeo ya uwanjani huwa hayabadilishwi toka dunia imeumbwa.... Haya mambo yapo, kuonewa kupo,,, mambo ya kwenda kuangalia kwenye VAR ni utashi wa refarii hakuna wa kumlazimisha...

Kuna champions league final I think ilikua 2019 au 2020 kati ya Esperance De Tunis Vs Wydad Casablanca refarii aliwaua sana wydad yaani incidence za penalty za Wydad kupewa penalty refa alikua anapeta na ikafika kipindi akagoma kwenda kwenye VAR akidai zimeharibika, kumbuka game ya kwanza Esperance alishinda game ya kwanza kwa kupewa goal katika mazingira ya usaidizi wa VAR.... Wachezaji wa Wydad wakatoka uwanjani na kuondoka na mechi ikaishia hapo hapo..

Dunia nzima ililalamika kwa wydad kuonewa na ikatakiwa Wydad apewe ubingwa... Lakini mwisho wa siku Esperance akapewa ubingwa....
kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia, mechi ya Bafana Bafana na Senegal ilirudiwa kwasababu ya nini? ilihali msauzi alikua ameshafuzu na matokeo ya mechi iliyorudiwa akatolewa... tutunze maneno.
 
Ni ngumu sana rejea mechi ya fainali kati ya Wydad Casablanca Vs Esperance
Mkuu rejea Mechi ya kufuzu fifa Wualification ya Senegal na South afrika mwaka 2017..
Rejea mechi ya Ligi ya South Africa, a match between South African clubs Polokwane City and Baroka FC in the South African...
Icnidence zinafanana na mechi zilirudiwa
 
Sasa Hapa Ndumbaro Apewe Ndege Aipeleke Barua Kwa Mkono Akifika CAF Akae Angoje Majibu
Alipambana Sana Yule Baba Haa Haa
 
baadae anaweza kuingia conflicts na CAF officials kwa inshu za kipuuuzi puuzi namna hii. Somtimes songambele Nyuma mwiko
Haya ndio mawazo ya majuha, so huko mbele unasongaje, haki haijawahi kumfuata mtu miguuni, you must struggle and fight for!
 
Goal line technology refa anpewa taarifa na saa aliyovaa kama mpira umevuka mstari,sasa Africa marefa wetu bado hawatumii hiyo kitu hivyo ni mpaka wakaangalie tu kwenye var
Walete goal line, tugange yajayo
 
Back
Top Bottom