Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

Sasa nawe bro mazingira ya 2010 unayaringanisha na sasa? Kipindi hiko hakuna VAR wala Goal line Technology mkuu sio sasa.
Inayoamua utata kama ule ni var ama goal line?
 
Kichekecho .. Wakili wa mchongo anadai kulikuwa na 'administrative error', halafu wakati huo huo anatuhumu 'match fixing'.
 
Matokeo ya mpira hayabatilishw

Ata kama mpira unge kuwa kona na refa ange nyoosha Kati

Kitakacho fuata ni6adhabu tuu kwa wa husika Lakin goli lipo pale pale
Tuna historia kadhaa matokeo yaliwahi kubatilika na mechi Zikarudiwa hivyo Mkuu usidanganye
 
Tatz MATANZANIA akili hayana.. hiyo barua mbona haijasainiwa?... ni 1st draft?
 
Inayoamua utata kama ule ni var ama goal line?
Goal line technology refa anpewa taarifa na saa aliyovaa kama mpira umevuka mstari,sasa Africa marefa wetu bado hawatumii hiyo kitu hivyo ni mpaka wakaangalie tu kwenye var
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Football Politics.
Utopolo baadae anaweza kuingia conflicts na CAF officials kwa inshu za kipuuuzi puuzi namna hii. Somtimes songambele Nyuma mwiko. Inakuwaje tunaanza kutafuta Uadui kwa mamlaka za soka na wadau kwa ujumla.
Huu ndiyo ujinga watz mnao pumbavu kabsaa uoga umewamaliza ndiyo maana mageuzwa geez was kama chapati na viongozi wenu uchwara

Unafiki uoga umewajaa hadi matakon
Umeandika unafiki eti unawaonea yanga huruma wataingia kwenye conflict kumbe roho inauma wanaweza pewa ushindi

Tunajua wewe ni simba pumbavu mkubwa wewe
Mijitu mioga na minafiki ni takataka kabsaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Football Politics.
Utopolo baadae anaweza kuingia conflicts na CAF officials kwa inshu za kipuuuzi puuzi namna hii. Somtimes songambele Nyuma mwiko. Inakuwaje tunaanza kutafuta Uadui kwa mamlaka za soka na wadau kwa ujumla.
Kuna mzee mmoja alikuwa muajiriwa kama mlinzi kwa tajiri mmoja Kahama. Ikatokea binti yake wa form 1 akagundulika analiwa na mtoto wa tajiri yake. Mama wa binti akasala na kutaka kwenda kisheria. Tajiri akatembeza noti kwa mzee na vitisho kuwa mke akiendelea na kesi kazi hana na kibanda anachoishi atafukuzwa. Mzee akazuia mkewe asiendelee na kesi. Akiwa form two, binti akagundulika kuwa na mimba. And aliyempa mimba kuja kugundulika ni yule yule tajiri.

Akili zako hizi za kudhulumiwa na kukubali unyonge, zimenikumbusha kisa cha huyo Mzee.

Dhulma ina tabia ya kumea. Ukidhulumiwa na usichukue hatua, unakua shimo la kila mtu kujipigia. Ila ukichukua hatua, utaheshimiwa na dhulmat atafikiri mara mbili kabla ya kukutendea.
 
Mawazo wa kimasikini haya.
CAF ni taasisi na sio show ya mtu mmoja kama TFF inavyomilikiwa ma msomali
 
Football Politics.
Utopolo baadae anaweza kuingia conflicts na CAF officials kwa inshu za kipuuuzi puuzi namna hii. Somtimes songambele Nyuma mwiko. Inakuwaje tunaanza kutafuta Uadui kwa mamlaka za soka na wadau kwa ujumla.
Kuna mzee mmoja alikuwa muajiriwa kama mlinzi kwa tajiri mmoja Kahama. Ikatokea binti yake wa form 1 akagundulika analiwa na mtoto wa tajiri yake. Mama wa binti akasala na kutaka kwenda kisheria. Tajiri akatembeza noti kwa mzee na vitisho kuwa mke akiendelea na kesi kazi hana na kibanda anachoishi atafukuzwa. Mzee akazuia mkewe asiendelee na kesi. Akiwa form two, binti akagundulika kuwa na mimba. And aliyempa mimba kuja kugundulika ni yule yule tajiri.

Akili zako hizi za kudhulumiwa na kukubali unyonge, zimenikumbusha kisa cha huyo Mzee.

Dhulma ina tabia ya kumea. Ukidhulumiwa na usichukue hatua, unakua shimo la kila mtu kujipigia. Ila ukichukua hatua, utaheshimiwa na dhulmat atafikiri mara mbili kabla ya kukutendea.
 
Hakuna jipya hapo may be zaidi zaidi refarii kupewa adhabu,,,, matokeo ya uwanjani huwa hayabadilishwi toka dunia imeumbwa.... Haya mambo yapo, kuonewa kupo,,, mambo ya kwenda kuangalia kwenye VAR ni utashi wa refarii hakuna wa kumlazimisha...

Kuna champions league final I think ilikua 2019 au 2020 kati ya Esperance De Tunis Vs Wydad Casablanca refarii aliwaua sana wydad yaani incidence za penalty za Wydad kupewa penalty refa alikua anapeta na ikafika kipindi akagoma kwenda kwenye VAR akidai zimeharibika, kumbuka game ya kwanza Esperance alishinda game ya kwanza kwa kupewa goal katika mazingira ya usaidizi wa VAR.... Wachezaji wa Wydad wakatoka uwanjani na kuondoka na mechi ikaishia hapo hapo..

Dunia nzima ililalamika kwa wydad kuonewa na ikatakiwa Wydad apewe ubingwa... Lakini mwisho wa siku Esperance akapewa ubingwa....
 
Una ushahidi kuwa masandawana wamehusika?

Matokeo ya magoli kukataliwa yapo toka miaka na miaka na hakuna mabadiliko pamoja ma sheria kuwepo

Ushindi wa mezani mara nyingi ni pale mmoja hakutokea uwanjani

Ila pale arabs
Timu ya kutoka iran na saudia moja ya saudia ili kataa kuingia uwanjani lakini hakuna matokeo ya mezani yalitolewa na ilikuwa kombe kama hili la CAF
Kumbuka VAR zimewekwa ili kujiridhisha kuondoa hayo unayoyasema. Mbona refa alipeta?
 
mechi za mtoano ni za maamuzi sio zakukusanya points... fikiria ikiachwa iwe hivi si marefa watakua wanahongwa wakatae magoal then sheria itawaadhibu wao tuu kwakua matokeo hayabadiliki? kwa kelele zinzopigwa africa nzima hata kama matokeo yatabaki yalivyo kuna mambo yataongezwa au kurekebishwa kikanuni.! Naiona yanga ikishinda katika hii.. NYUMA MWIKO DAIMA MBELE.
 
Hakuna jipya hapo may be zaidi zaidi refarii kupewa adhabu,,,, matokeo ya uwanjani huwa hayabadilishwi toka dunia imeumbwa.... Haya mambo yapo, kuonewa kupo,,, mambo ya kwenda kuangalia kwenye VAR ni utashi wa refarii hakuna wa kumlazimisha...

Kuna champions league final I think ilikua 2019 au 2020 kati ya Esperance De Tunis Vs Wydad Casablanca refarii aliwaua sana wydad yaani incidence za penalty za Wydad kupewa penalty refa alikua anapeta na ikafika kipindi akagoma kwenda kwenye VAR akidai zimeharibika, kumbuka game ya kwanza Esperance alishinda game ya kwanza kwa kupewa goal katika mazingira ya usaidizi wa VAR.... Wachezaji wa Wydad wakatoka uwanjani na kuondoka na mechi ikaishia hapo hapo..

Dunia nzima ililalamika kwa wydad kuonewa na ikatakiwa Wydad apewe ubingwa... Lakini mwisho wa siku Esperance akapewa ubingwa....
kuna goal lililokataliwa katika hiyo mechi? Bila kusahau, KUFUNGUKA ndio KUFUNGIKA..!!
 
Mnatiana ujinga tu!! Hayo ni makosa ya kibinadamu tu, si juzi juzi tu hapa yanga alikuwa anacheza na Ihefu akapewa goli wakati mpira haukuvuka mstari kwa kiwango kinachotakiwa ili lihesabike ni goli? Sio kila kosa la mwamuzi ni upangaji matokeo.
Kulikuwa na VAR?
 
Back
Top Bottom