Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

Una ushahidi kuwa masandawana wamehusika?

Matokeo ya magoli kukataliwa yapo toka miaka na miaka na hakuna mabadiliko pamoja ma sheria kuwepo

Ushindi wa mezani mara nyingi ni pale mmoja hakutokea uwanjani

Ila pale arabs
Timu ya kutoka iran na saudia moja ya saudia ili kataa kuingia uwanjani lakini hakuna matokeo ya mezani yalitolewa na ilikuwa kombe kama hili la CAF
-Hoja yako ni nini kolo? kwamba yale yalikua makosa ya kibinadamu ya referee au
- Barua inaomba ufanyike uchunguzi wewe unataka ushahidi kabla ya uchunguzi akili gani hizi kolo au umepiga gambe
-Mimi shabiki na mwanachama wa yanga nataka uchunguzi kwenye sintofahamu kama ile kwanini refa hakwenda kwenye var
-boli ni mchezo wa wazi ukiona kitu hakiko sawa lazima uhoji kwa manufaa ya boli acha sigara bwege kolo
 
Ila young kwanini hawakufunga penalty licha ya kupata hiyo fursa???z
 
Kulingana na Kanuni za CAFCL

Hukumu itakuwa Hivi..
  • Refa kupewa Adhabu
  • Mamelody kufungiwa miaka Mitatu kujihusisha na Mechi za CAF
  • Yanga kupewa nafasi kuingia Nusu fainali
View attachment 2955580
Kwa match fixing kwa mujibu wa hio kanuni ni rahisi sana kuwatia hatiani Mamelod.Watakana tu kuhusika na pia Motsepe uwepo wake ni rahisi sana kuwepo na mgongano.
 
Unajua GSM Anawahadaa Yanga Bure Hapo Hakuna Jipya Zaidi Mengineyo
World Cup Iliyochezwa South Africa
Germany vs England
Kuna Goal Lilipwa Moja Likaingia Wazi Ila Refa Alikataa Na Hakuna Jipya
Yanga mambumbumbu
Mpira umewashinda uwanjani kwa mkapa na South Afrika sasa wanatafuta ushindi wa Mezani
 
GOLI la OFFSIDE hilo acheni ushamba
Offiside ipi Mkuu yaani wewe Unapingana hata na Refa mwenyewe 🤣🤣
Yaani wewe ndo umeenda kinyume na dunia nzima..
Watu wanabishana kuhusu Goal line Afrika nzima ila wewe unazungumzia Offside???
🤣🤣
 
Kwa hiyo wamepeleka kesi ya ngedere kwa nyani siyo?sanasana atawajibishwa refa.Alafu ataendelea kula kibunda chake
 
Football Politics.
Utopolo baadae anaweza kuingia conflicts na CAF officials kwa inshu za kipuuuzi puuzi namna hii. Somtimes songambele Nyuma mwiko. Inakuwaje tunaanza kutafuta Uadui kwa mamlaka za soka na wadau kwa ujumla.
Watu kama nyie ndio mnasababisha ccm inawatia madole kila siku!
 
Football Politics.
Utopolo baadae anaweza kuingia conflicts na CAF officials kwa inshu za kipuuuzi puuzi namna hii. Somtimes songambele Nyuma mwiko. Inakuwaje tunaanza kutafuta Uadui kwa mamlaka za soka na wadau kwa ujumla.
Huu ni uwoga mkuu ni haki ya Team husika kupigania haki zake kwa kile walichokiona na kuthibisha kuwa ni haki kwao.

Hizi nadharia za kuingia conflict ni nidhamu za kiuoga na ndio mara nyingi zinafanya mtu kukosa haki yako. Waache wapambanie haki yao mkuu
 
Football Politics.
Utopolo baadae anaweza kuingia conflicts na CAF officials kwa inshu za kipuuuzi puuzi namna hii. Somtimes songambele Nyuma mwiko. Inakuwaje tunaanza kutafuta Uadui kwa mamlaka za soka na wadau kwa ujumla.
Kafirwe huko achana na Yanga yetu
 
Leo hamlali majiran zangu, nikilewa mnisamehe kwa hizi kelele na vile arsenal imeshinda 😅

Goli la azizi ki limenirudisha kwenye ulevi
🤣🤣🤣🤣 we piga kelele jirani kwakuwa Arsenal wala hutusumbui, bia zikiisha sema tukuongeze!!
 
Back
Top Bottom