Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

Football Politics.
Utopolo baadae anaweza kuingia conflicts na CAF officials kwa inshu za kipuuuzi puuzi namna hii. Somtimes songambele Nyuma mwiko. Inakuwaje tunaanza kutafuta Uadui kwa mamlaka za soka na wadau kwa ujumla.
Brother, kuna mchezaji wa mpira ambaye alikuwa mmoja tu ndiye aliyefanya soka lote libadilike ulimwenguni na sheria zake na wachezaji kuwa na maslahi makubwa.

Vipi kama angeliangalia kuwa hakuna aliyelifanya? Au vipi kama angeleta taswira ya fikra kama wewe uliyoileta? Unafikri lile goli lingekuwa kwa waarabu kungekalika?

Hapana! Lazima lifanyike jambo! Na penye makosa ya wazi ni lazima parekebishwe. Yanga wamefanya uthubutu. Na tukumbuke pia taswira kwa hapa inabadilika yaani haitoonekana Yanga tena. Bali itasomeka time ya Yanga kutoka Tanzania.
 
Unajua GSM Anawahadaa Yanga Bure Hapo Hakuna Jipya Zaidi Mengineyo
World Cup Iliyochezwa South Africa
Germany vs England
Kuna Goal Lilipwa Moja Likaingia Wazi Ila Refa Alikataa Na Hakuna Jipya
World cup ni FIFA,hili la yanga ni la caf,Kuna mechi ya Senegal ilikua Kama hivi,nadhani Senegal walipewa ushindi au game ilirudiwa
 
Kuna nzuri linakuja katika Hili
 
Hukumu ya tukio la aina hii itakuwa nini?
1. Refa kuhukumiwa.
2. Mechi kurudiwa
3.Uto kupewa ushindi?
4. Nk
Hebu wqjuzi mkuje pande hii Uto Leo moja haiendi ,mbili haisogei😀😀
napenda mechi irudiwe, sundowns watafungwa pacome, yaoyao na yule mganda wakiingia. sundowns wenyewe wanawaogopa yanga.
 
Nimeipenda hii!

Ijapokuwa mimi ni shabiki wa Simba ila ni shabiki wa mpira vilevile.

Maamuzi waliyoyachukua Yanga ni sahihi. Hata goli la Azizi Ki lipo wazi kabisa kabisa kwa namna yoyote. Ngoja tuone yatakuwaje.
Hapo wamekosea kuweka tuhuma za match fixing, ambazo ni tuhuma serious kweli na hakuna ushahidi
Hapo ni administrative error au poor officiating basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…