Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Bwire akawe tu MC wa vichekesho ni kazi inayomfit hasa, huyo beki katili alichofanya wala si cha kufurahisha.
Tena kama adhabu iwe ya juu zaidi, licha ya kutuumizia Tambwe wetu, matusi na kumdhalilisha juu.
Refa aliyechezesha kishawekwa pending, hatoendelea kuchezesha michezo iliyobaki ya ligi kuu.
Duh lile beki sura kaa mkagawa sumu, wanachokitafuta wao Ruvu shooting ndio watakipata.
Sisi na Yanga yetu amani tupu, Freeland acha fujo zako, kama wanatuwekea mauchawi yao sisi lazima tuyafukue tu. Mmetushindwa joo!!

Last edited by a moderator: