grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
Kumbe na wewe ni wa kipande cha Bonde la Mafuriko. Ngoja niweke kumbukumbu sawia.Ukiwa mshabiki au mpenzi wa timu unayejielewa lazima utatambua kuwa timu unayoipenda si lazima ishinde kila kitu...
Hivyo kutoshinda Mapinduzi Cup au kutoka suluhu mechi mbili mfululizo hilo si jambo la kusumbua akili...