Yanga yaingia mkataba wa Bil.3.3 na kampuni ya Haier

Badala ya kilinganisha na Simba, ni bora ungejibu hoja ya juu hapo; Je, kiasi hicho kwa Yanga kinatosha?
Kinatosha sababu ndio hali halisi, nyie pamoja na jamaa kubandika mabango kila sehemu bado anawadai bil 87.Halafu ukisema uanza kujumlisha udhamini wenu kwa mujibu wa hizo deal zenu unana kabisa hesabu zinakataa.
 
Yanga kwenye mikataba huwa wanapigwa sana.. ! Sportpesa kupitia Tarimba imewabaka hawafurukuti , Huyo Haier nafikiri ndo walewale GSM hakuna ushindani kbs wanaambiwa tu Vaeni hili bango bega la kushoto hakuna kuhoji hoji.
Kama vipi tuwekee na mikataba ya tajiri yenu Moo anayepata tu hasara kila siku, huku jezi zenu zikiwa zimechafuliwa na nembo za biashara zake.
 
Ulitakiwa ujue Yale ma Bango ya MO kwenye jezi ya Simba ambayo ni zaidi ya ma 4 kwa kila Bango, mkataba wake ukoje?
Baada ya apo utaelewa kama Yanga wamepigwa au vipi.
Yesu wakati anaenda kusulubiwa aliwaambia wa mama wa Jerusalem wajililue wao na watoto wao. Simply alimfananisha mind your own business. Sasa is due ya Yanga, makolo na mo wanaingiaje hapo?
 
Kinatosha sababu ndio hali halisi, nyie pamoja na jamaa kubandika mabango kila sehemu bado anawadai bil 87.Halafu ukisema uanza kujumlisha udhamini wenu kwa mujibu wa hizo deal zenu unana kabisa hesabu zinakataa.
Unarudia kosa lile lile. Inatosha kusema hicho kiasi kinaitosha Yanga. Hauna haja ya kulinganisha na Simba maana wao ni timu nyingine.

Mikataba ya udhamini wa jezi za Simba ni tofauti na ya Yanga. Mfano, Simba kama klabu wanapewa hela na mkandarasi hizo 38B na bus na kujenga uwanja, kwa muda wa miaka mitano, kisha kazi ya kukusanya mapato ya mauzo ili kujirudishia gharama inabaki ya mkandarasi, wakati Yanga kama klabu inapata mgao wa sh. 1,300/= kwa kila jezi na hela zinazobaki zinaenda kwa mdhamini (GCM) na idadi ya jezi zilizouzwa anataja yeye.

Kwa hiyo si sahihi kulinganisha, kila klabu ijipime peke yake kama inachopewa kinaitosha, mtu hapaswi kujifariji kwa kuchungulia mwenzake amepika nini leo, ila ajivunie yeye amepika nini
 
Unaniambia haina haja ya kulinganisha na Kolo FC

"Yanga kama klabu inapata mgao wa sh. 1,300/= kwa kila jezi na hela zinazobaki zinaenda kwa mdhamini (GCM) na idadi ya jezi zilizouzwa anataja yeye."

Sasa ww hapo juu umefanya nini kilicho kutofautisha na ulicho niambia wewe? Mnapendwa kuongopewa, yaani wewe mwenyewe hujiulizi jezi imejaa mabango kibao na jamaa bado anawadai bil 87,halafu unaamini kabisa hizo bil 38,inaenda kujenga uwanja na unahuhakika itatoka hiyo bil 38.

Mkitaka kujua mnachezewa fanya home work ndogo ktk miaka hii 8 ,mliingia mikataba ya kiasi gani,piga total then angalia halia ya club,angalia hayo madeni mnayo daiwa then utagundua,hizi namba mnachezeshewa. Hili halihitaji hata uwe na akili kubwa, bali hesabu za kujumlisha na kutoa.
 
Sasa ww hapo juu umefanya nini kilicho kutofautisha na ulicho niambia wewe? Mnapendwa kuongopewa, yaani wewe mwenyewe hujiulizi jezi imejaa mabango kibao na jamaa bado anawadai bil 87, halafu unaamini kabisa hizo bil 38,inaenda kujenga uwanja na unahuhakika itatoka hiyo bil 38.
Mimi nimeonyesha jinsi mikataba inavyotofautiana, hivyo kukazia justification kuwa haipaswi kulinganishwa. Ni sawa na kulinganisha kiwango cha uchezaji cha golikipa na cha mshambuliaji wa timu tofauti, yaani Ronwen Williams na Mzize
 
Inatofautiana kwenye maigizo haya mnayo igiziwa ila ukija kwenye hali halisi uongo mtupu, kwani hesabu zinakataa kabisa.
 
😂😂😂Vijitu kama nyie bana.. hebu tuambie simba anapata kiasi gani dhidi ya mabango ya mo ambayo yanatapaka kwenye jezi?
Mo ni mmikiki sio mdhamini elewa hilo. Ni kama wewe nyumbani kwako unakaa na kuweka miguu juu ya meza hakuna kumuwaza mtu.
 
Mkitaka kujua mnachezewa fanya home work ndogo ktk miaka hii 8 ,mliingia mikataba ya kiasi gani,piga total then angalia halia ya club,angalia hayo madeni mnayo daiwa then utagundua,hizi namba mnachezeshewa. Hili halihitaji hata uwe na akili kubwa, bali hesabu za kujumlisha na kutoa.
Hao wanaodaiwa wameridhika na madeni, na hao wanaopewa sh. 1,300/= kwa kila jezi inayouzwa sh. 45,000/= nao wameridhika na hiyo buku mia tatu wanayopokea. Kitendo cha kila mmoja kuridhika ni kizuri maana kunakuwa na amani. Usishinikize jirani yako asiridhike wakati yeye haoni ubaya.

Usiwe kama GenZ wa Kenya wanaotushangaa kwa nini Wabongo hatuingii mitaani kuandamana kupigania haki za uchaguzi na maisha ya wanaotekwa. Kila mmoja akiona hali iliyopo ni sawa tu kwake, hakuna ubaya!
 
Mo ni mmikiki sio mdhamini elewa hilo. Ni kama wewe nyumbani kwako unakaa na kuweka miguu juu ya meza hakuna kumuwaza mtu.
Ki uhalisia MO ni mmiliki wa Simba chakushangaza mashabiki wakielezwa Simba ni ya MO wanakasirika.
 
Inatofautiana kwenye maigizo haya mnayo igiziwa ila ukija kwenye hali halisi uongo mtupu, kwani hesabu zinakataa kabisa.
Kama hao wameridhika na huo uongo wanaodanganywa, shida kwako inatokea wapi?
 
Hao wanaodaiwa wameridhika na madeni, na hao wanaopewa sh. 1,300/= kwa kila jezi inayouzwa sh. 45,000/= nao wameridhika na hiyo buku mia tatu wanayopokea. Kitendo cha kila mmoja kuridhika ni kizuri maana kunakuwa na amani. Usishinikize jirani yako asiridhike wakati yeye haoni ubaya.

Usiwe kama GenZ wa Kenya wanaotushangaa kwa nini Wabongo hatuingii mitaani kuandamana kupigania haki za uchaguzi na maisha ya wanaotekwa. Kila mmoja akiona hali iliyopo ni sawa tu kwake, hakuna ubaya!
Bora sisi wa kweli, kuliko nyie mnaodanganywa,mnaidaiwa vipi bil 87 na mmeshaingia mikataba ya 20bil,25 bil, 38 bil bado sijui kuna Plisner ,viingilio vya mlangoni, hela za mashindano ya CAF na bado anaye wadai katapakaa jezi nzima still mnadaiwa 87 bil.
 
Ki uhalisia MO ni mmiliki wa Simba chakushangaza mashabiki wakielezwa Simba ni ya MO qanakasirika.
Kwa mtu anayejua uendeshaji wa taasisi kwa mfumo wa hisa, hatakiwi kushangaa kusikia kuwa mwana hisa ni mmiliki mmojawapo wa taasisi. Simba imeshauza hisa zake 49%, Yanga wanasema wapo kwenye mchakato, ila yawezekana wafanyabiashara wanasita kununua hisa huko maana hata 5B sio hela ya kitoto
 
Bora sisi wa kweli, kuliko nyie mnaodanganywa,mnaidaiwa vipi bil 87 na mmeshaingia mikataba ya 20bil,25 bil, 38 bil bado sijui kuna Plisner ,viingilio vya mlangoni, hela za mashindano ya CAF na bado anaye wadai katapakaa jezi nzima still mnadaiwa 87 bil.
Kama wanaodanganywa hawaoni shida kudanganywa, iweje asiyedanganywa akereke na ajinasibu kama mtetezi wa anayedanganywa? Kuna shida mahali (ila na mimi sitaki kuingia katika mtego wa huyo mwenye shida)
 
Sasa kama tumeridhia na 1300 shida kwako inatokea wapi?
Ni wapi niliposema kwamba sio sawa klabu ya Yanga kupewa sh. 1,300/= kati ya sh. 45,000/= za jezi moja? Maandiko yangu yote yanaheshimu kuridhika, na hilo neno 'kuridhika' nimelitaja waziwazi kabisa.
 
Kwani mimi ni kuridhika nimelitaja kwa kulificha. Mini nimezungumzia hesabu za kawaida za kutoa na kujumlisha.
 
Kama wanaodanganywa hawaoni shida kudanganywa, iweje asiyedanganywa akereke na ajinasibu kama mtetezi wa anayedanganywa? Kuna shida mahali (ila na mimi sitaki kuingia katika mtego wa huyo mwenye shida)
Kuna sehemu nimekerekwa mimi nilikuwa na kushangaa wewe ,ukiwa unaowashangaa wanaolipwa 1300 wakati huku kwenu hesabu za kutoa na kujumlisha equation inakataa.
 
Basi tuhitimishe kwa kusema, kila mtu kwa sasa aendelee kuridhika na upande wake, na asichungulie kwa mwenzake kuna nini na kuanza kulinganisha.

Simba waridhike na madeni licha ya kupewa sh. 38B, bus na uwanja wao kwa miaka mitano, na Yanga waridhike na kupokea sh. 1,300/= za kila jezi na kujiandaa kuchangia hela za kifusi cha kuufukia mto Msimbazi na pia kuchangia ujenzi wa kiwanja cha mpira hapo kitakapowekwa kifusi
 
Back
Top Bottom