Yanga yaingia mkataba wa Bil.3.3 na kampuni ya Haier

Yanga yaingia mkataba wa Bil.3.3 na kampuni ya Haier

Sasa kama tumeridhia na 1300 shida kwako inatokea wapi?

Buku Mia tatu ndo shida...!

Kiviiiipii sasa? Kivipi sasa?

Hatuwezi kuona Utopolo Wanapigwa kwenye mikataba na sisi wapenda haki tukanyaza tu,hatuwezi.. .!
 
Buku Mia tatu ndo shida...!

Kiviiiipii sasa? Kivipi sasa?

Hatuwezi kuona Utopolo Wanapigwa kwenye mikataba na sisi wapenda haki tukanyaza tu,hatuwezi.. .!
Mpenda haki ila unadaiwa bil 87, plisner mkataba wa miaka mitatu 1.5b kwa tangazo moja kwenye bega, MO jezi nzima imejaa mabango yake, mlikuwa na udhamini wa 25 bil,juzi mkasaini wa 20bil na 38 bil,vingilia kwa misimu zaidi yane,zawadi za ligi na za CAF,bado Vunjabei ,ila cha ajabu bado mnadaiwa bil 87.Sasa sijajua nani anapigwa au ndio maana umeukubali ukolo kama lilivyo jina lenu la Kolo FC,hata hesabu za kujumlisha na toa zimewashindwa.
 
Mkataba huu umekaaje mbona hawapo kwenye Mboga Mboga walizozindua leo?...
Wamejaza vijembe tu
 
Back
Top Bottom