Yanga yaingia mkataba wa Tsh Bilioni 34.8 na Azam Media

Ni yanga tv, wao azam ndio watakua wanaandaa hicho kipindi na kukirusha. Mpaka sasa yanga wanakitengeneza wenyewe kisha wanapeleka file kwenye flash disk azam ili irushwe...
 
Ni yanga tv, wao azam ndio watakua wanaandaa hicho kipindi na kukirusha. Mpaka sasa yanga wanakitengeneza wenyewe kisha wanapeleka file kwenye flash disk azam ili irushwe...
Mkuu muwe mnafwatilia bas hivi vitu kabla kuandika kama hivi,,
..huo mkataba sio kuhusu yanga tv tu na sio kua yanga ananda anapeleka,,
Yanga kauza haki zote za matangazo ya television kwa azam tv,,
Azam tv sasa anahaki yakila liloihusu yanga kubrodcast,ni kutoa taarifa t nataka nifanye kitu flani kwa afisa habari wa team hata wakitaka kuanzisha reality show ya yanga,mikutano yote na waandishi wa habari,mahojiano na wachezaji ,mechi za kirafiki,mechi za kimataifa zote izo yanga hawez kuuza tena zote sasa n mali ya azam tv..
Yanga tv ni moja t ya package..
 
Mbona FCC, Bashungwa, Simba, MO washakaa kuweka sawa hili jambo?
 
Hivi Arnold Kashembe anasemaje kuhusu Simba kuuza Maudhui ya Simba TV? Mliosema Simba atapata deal kubwa zaidi ya Yanga kwa sababu Simba ina thamani kubwa kuzidi Yanga, hebu tuelewashane hapa. Ilikuwaje mkakubali 385M kwa mwaka halafu Yanga wapokee zaidi ya 200M kila mwezi? Huku kukiwa na ongezeko la 20M kwenye malipo ya kila mwezi kwa kila mwaka.

Huo ukubwa na weledi wa Simba uko wapi?
 
Mkataba wenu uko wapi? Hayo maneno matupu tumeshawazoe. Kuanzia CAS na kuendelea.
 
Daaaaaah akili gani hizi utopolo mnazo, gawio kwenye mfumo wa hisa sio mapato ni faida. Uwezi ukanunua hisa Voda afu ukasema kila vocha inayouzwa utakua unachukua % zako. Hakuna kampuni ingesimama. Maana mwisho wa mwaka kila mtu anabaki na fito take
Utopolo acheni kujipotosha
 
Umekaa muda wote huo, ndiyo ukaamua kusema hilo.
 

Hivi inakuwaje mtu mzima tena pengine ni jinsia ya kiume unakuwa muongo kiasi hiki?
 
Hivi inakuwaje mtu mzima tena pengine ni jinsia ya kiume unakuwa muongo kiasi hiki?
Hujui lolote wewe ni mshabiki tu, kama mpaka leo hujui mchakato wa klabu yenu umefikia wapi basi tulia tukwambie
 

Wameuza haki za Yanga tv ilioko yutubu
 
Hilo halina ubishi ila kwenye mfumo wa kuingoza timu hajafanikiwa, mfumo uliopo sio endelevu siku MO akipata shida kwa biashara yake kama ilivyotokea kwa Manji ndiyo mwisho wa simba.
Hisa ni nini?
 
Soma soma ujue hisa ni nini, wenzenu tulipewa elimu mapema ndio maana tupo kimya
Elimu ipi hiyo?
Mimi nina hisa, nishanunua, nishauza.
Wewe inatakiwa useme kipi kilichozungumzwa ni upotoshaji. Halafu nitakujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…