Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,400
- 2,010
Simba inategemea sana mitandao ya kijamii kama vile Instagram na Tweeter. Pia ina viongozi ambao ni kama celebrities, kwa mfano Haji Manara na Mo Dewji. Wana followers wengi, hata Barbara Gonzalez.
Ubovu wa hili kwenye negotiations za Media Partnership ni kuwa itabidi kurasa hizi ziache kuandika na kuonyesha baadhi ya matukio.
Yaani mimi kama AZAM nachukua hizi pages kama competition na itabidi unihakikishie kuwa utaacha kupost mambo ya Simba kabla ya kuniuliza na kuhakikisha hazitaleta migogoro.
This is Negative.
Pia Azam wataangalia siku Yanga ikicheza viewrship ipo vipi na siku Simba ikicheza viewership ipo vipi hasa kwenye TV.
Na mauzo ya Jezi pamoja na merchandise.
Halafu Simba nusu ya mapato yataenda kwa mtu binafsi, anaweza akatumia hizo hela kununua tambuu au kuwapa Simba. Hiyo ni juu yake.
Upende usipende, kwenye hili Yanga wamewapiga bao Simba.
nimesoma comment nying humu nataman niamininkuwa wachangiaji mmeamua kuweka ushabiki tu kuchangamsha mada sitak kuamin ndo uelewa wenu ulipofika kwenyw swala la hisa na uwekezaji
yaan tasisi iingine mkataba flan halafu hiyo pesa igawanywe kwa wenye hisa kama ilivyo.. vikoba...... sijawah ona kitu kama hicho... nachojua tasisi ikiingia mkataba kuna mambo mengi yanapangwa kwenye pesa inayopatikana kwa ajili ya maendeleo ya tasisi husika haichukuliwi hiyo pesa kama faida mgawane...
biashara zingefanyika namna hii hakuna biashara ambayo ingebak zingekufa zote... ni sawa sawa useme voda au tbl wagawane pesa ya mauzo ya bia au vocha pasu kwa pasu na wanahisa wao.. halafu zitajiendeshaje na kukuza brand tena...
mpira ni biashara kama tbl na voda.. bidhaa za simba na yanga ni ubora wa team zao na mafanikio ya uwanjan.. yanayoletwa na uwekezaji ndan na nje ya uwanja.. huo uwekezaji hautok mbinguni. ila mnachopata mnakipangia cha kufanya ili mmboreshe zaid..
ndo maana azam katoka kuwapa 100m team za lg kuu had sasa hv anatoa 500m. maana kigi imeboreka na imeboreshwa na uwekezaji wa vilabu ...na akaona simba na yanga wamejiwekeza kwa kutumia pesa kaamua aje na deal la pemben la maudhui.. its a bussness .. hao yanga au simba 5 years ago Azam asingeweka hiyo pesa kwenye hizo team