Yanga yaingia mkataba wa Tsh Bilioni 34.8 na Azam Media

Yanga yaingia mkataba wa Tsh Bilioni 34.8 na Azam Media

Ndo ilivyo lazima Simba wabebe pakubwa, ni kama kwenye deal la Sportpesa, Yanga walivuna kuliko Simba sababu Simba hakuwa kwenye fomu
Hamna kitu kama iko,mkataba wa SportPesa na timu zetu hamna timu iliyoizidi mwenzie hata sumni,na ndivyo itakavyokua iwapo mikia wataridhia kuingia mkataba na azam media, hamna timu itakayoizidi nyingine.
 
Yote yanawezekana. Kwani umeambiwa sifa za watakaotakiwa kuwemo kwenye CAF super League?

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Yanga mna matumaini sana, ndio matumaini ya mnaweza kuwa mabingwa wa vpl msimu huu haya.

Sasa unafikiri sifa ni zipi? Sifa kuu uwe na ushiriki mzuri CAF Yanga mtaweza ila kama mtafamya vizuri michuoano ya caf. Kwa sasa simba ndio iko mbele kwenye firsa zote.
 
Hili la "Yanga kuwa bora" afrika mashariki na kati tumeshalizoea masikioni mwetu toka hao GSM wachukue hiyo team. Umesahau mlivyombeba Said Hersi kwenye kiti mwaka jana na yeye kwa mdomo wake akawaambia kuwa Yanga ikikosa ubingwa mwaka msimu huu aulizwe yeye, leo hii navyoandika hapa mimi na wewe tunajua tayari nani bingwa wa VPL 2020-2021.

Bro nakuhakikishia, ili Yanga iweze kujistablize vzr ni lazima ikubali ya kuwa kwasasa Simba inafanya vizuri nje na ndani, kama Kuna ya kujifunza ifanye hivyo, lakini ikianza kuona kuwa mafanikio ya Simba si kitu na kulazimisha kuwa nao sawa au kuona imewazidi eti kwasababu imewafunga goli moja au kwasababu wametangulia kusaini mkataba wa 34b, wataendelea kubaki nyuma siku zote.

Hakika Yanga mmewapiga Bao Simba kwa huo mkataba mnono wa zaidi ya Billioni 34...
 
Klabu kongwe ya Young Africans Sports Club leo inaingia mkataba na Azam Media utakaogharimu jumla ya shilingi Bilioni 34.8 (Bilioni 41 with VAT). Mkataba huu utadumu kwa miaka kumi(10) na utafanyiwa marudio/maboresho baada ya miaka mitano...
Vunjabei hana hela kivile, yeye ana change za kuunga unga tu hapa na pale ili ahonge mademu wasiojitambua akili.
 
Hamna kitu kama iko,mkataba wa sportpesa na timu zetu hamna timu iliyoizidi mwenzie hata sumni,na ndivyo itakavyokua iwapo mikia wataridhia kuingia mkataba na azam media,hamna timu itakayoizidi nyingine
Nani kakwambia lazima wafanane? Mbona kwenye mafanikio uwanjani hawafanani? Au ndiyo kukariri kwenyewe huko? Vipi mkataba ukija hauko sawa na wa Yanga utakuja hapa kufuta comment yako?
 
Vunjabei hana hela kivile, yeye ana change za kuunga unga tu hapa na pale ili ahonge mademu wasiojitambua akili.
Haikupi unafuu wewe kwa kumkejeli Vunjabei, nina uhakika huna hata 1/8 ya pesa anayomiliki Fred
 
Klabu kongwe ya Young Africans Sports Club leo inaingia mkataba na Azam Media utakaogharimu jumla ya shilingi Bilioni 34.8 (Bilioni 41 with VAT). Mkataba huu utadumu kwa miaka kumi(10) na utafanyiwa marudio/maboresho baada ya miaka mitano...
Kwa hiyo klabu nyingine zitabaki kutoa macho zikiona yanga na simba wanavyopepea kwa nn azam media assiinue klabu yake ambayo kila mwaka ni wasindikizaji tu tutabaki kuwa na klabu 2 tu simba na yanga ndio maana soka la bongo haliendelei vipi kuhusu mtibwa mbeya city kagera sugar na klabu nyingine kwani wao hawapendi kuonekana.
 
Yanga mna matumaini sana, ndio matumaini ya mnaweza kuwa mabingwa wa vpl msimu huu haya.
Sasa unafikiri sifa ni zipi? Sifa kuu uwe na ushiriki mzuri caf....yanga mtaweza ila kama mtafamya vizuri michuoano ya CAF. Kwa sasa simba ndio iko mbele kwenye firsa zote.
Mashabiki wa Simba wa bwana. Kwa hiyo maneno haya yote ni kwa sababu ya huo mkataba wa Yanga TV na Azam Media?

Hivi kwenye maisha yako unaishi bila focus? Focus ya timu yoyote duniani msimu unapoanza na kuendelea namba 1 ni kuwa bingwa wa League, inaposhindikana ndio yanakuja malengo mengine namba 2 au 3, kama kuhakikisha timu haishuki nafasi fulani kutokana na faida yake.

Kama wewe unaamka hujui unataka ufikie lengo gani au unaweka rekodi za kufeli malengo yako basi pole mkuu.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Safi sana Yanga.
Klabu kongwe ya Young Africans Sports Club leo inaingia mkataba na Azam Media utakaogharimu jumla ya shilingi Bilioni 34.8 (Bilioni 41 with VAT). Mkataba huu utadumu kwa miaka kumi(10) na utafanyiwa marudio/maboresho baada ya miaka mitano...
 
Nani kakwambia lazima wafanane? Mbona kwenye mafanikio uwanjani hawafanani? Au ndiyo kukariri kwenyewe huko? Vipi mkataba ukija hauko sawa na wa Yanga utakuja hapa kufuta comment yako?
Hamna kitu kama iko,halafu mikia wa ajabu sana,inaonesha ni jinsi gani hamjui thamani ya klabu yenu, mo mpaka leo anagoma kutoa b 20 za 49%,then huku kwenye azam media mnajipa moyo eti mkataba wenu utakua zaidi walioingia Yanga wa b 34 kwa miaka,vuteni subra uwekezaji ndio mtazidi kuumia.
 
Jibu swali mkuu, acha kunituma nikafuatilie migogoro.
Swali gani?
Social media na traditional media zina conflict, labda zote ziwe kampuni Moja. Kunakuwaga na give and take not give and give
Kama hujawlewa tambaa tu Hamna haha ya kukubaliana.
 
Hujajibu swali la Mwanamaji naomba nikukumbushe swali alilokuuliza,Azam Tv ana Account Instagram yenye 3.5M followers,je hiyo Account ni Competitor wa Azam Tv Channel? Hayo ya yeye kwenda kufuatilia mgogoro wa Simba Day youtube yaache kwanza.
Kampuni Moja.
We vipi? Hivi mbona mnalazimisha vitu vipo wazi?
Kulikuwa na mgogoro wa Simba Tv(Azam) na Simba YouTube.
Wewe unafikiri kwa nini? ... Same content different media house . Tofauti na same media house
Dah!
 
Hamna kitu kama iko,mkataba wa sportpesa na timu zetu hamna timu iliyoizidi mwenzie hata sumni,na ndivyo itakavyokua iwapo mikia wataridhia kuingia mkataba na azam media,hamna timu itakayoizidi nyingine
Unabisha ili ubishe tu
 
Back
Top Bottom