DreezyD98
JF-Expert Member
- Nov 6, 2020
- 1,610
- 2,874
WivuNi utopolo kbs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WivuNi utopolo kbs
Nakubaliana na wewe."Muulize mwandishi yeyote wa habari hapa Tanzania atakuambia mashabiki wa Yanga wanatumia sana Traditional Media (Press, TV na redio). Hata Yanga iwe chini vipi itaandikwa Front page. Hii ni plus kwenye ku-negotiate TV rights. Azam hawako sana kwenye social media. Kwa kifupi, hawako kabisa na huiangalia social media kama competition."
Hiyo statement siyo tu imejaa uongo uliokithiri bali inaleta kizunguzungu kuisoma.
Umemjibu kisomi sana.🙌Itachukua muda sana kuanza kueleweshana. Ni vizuri kama tuendelee tu na mambo mengine kwa sasa.
Nakushauri ujitahidi, upo nyuma kwa kiasi fulani and it shows.
Sorry, not to sound standoffish or nothin.
Umemjibu kisomi sana.🙌Itachukua muda sana kuanza kueleweshana. Ni vizuri kama tuendelee tu na mambo mengine kwa sasa.
Nakushauri ujitahidi, upo nyuma kwa kiasi fulani and it shows.
Sorry, not to sound standoffish or nothin.
Kukosa uwanja hilo ni tatizo la Yanga wala halikuhusu,nyie si mlikuwa mnashangilia hapa kila kukicha kwa kuuza nusu nzima ya timu kwa bilioni 20 hewa[emoji23]...kwanza Simba nayo ina uwanja???Klabu ya mpira haina uwanja wa mpira hata wa kupigia danadana halafu inajivunia kuwa na Tv, kweli utopolo ni utopolo.
Azam Media kwa asilimia kubwa sana ni Azam TV.Unaposema kwamba Azam haja-base kwenye social media na anaiona kama ni mshindani wa TV una maana gani ?
Hebu tazama hizi picha za Instagram pekee za unayesema hayupo sana kwenye social media.
View attachment 1846118
View attachment 1846119
Ati werevu mmekaa kimya...[emoji16]Siku zote layman's mnakuwaga na confidence sana,hasa mkiona werevu wako kimya, mnajua kuwateka wajinga wenzenu,nakusoma hapa nabaki nacheka tu..
Yote yanawezekana. Kwani umeambiwa sifa za watakaotakiwa kuwemo kwenye CAF super League?Kwahiyo wewe unaamini itachukuliwa Yanga ikaachwa Simba ?
Sasa unasimamia wapi mkuu ?Azam Media kwa asilimia kubwa sana ni Azam TV.
Kama WASAFI MEDIA ilivyo kwenye Radio.
Milard Ayo (Ayo TV) kwenye Social media (Youtube).
Social media hiyo ni kama constant nowadays hata Kishki ana Kishki TV, ingawa hutoa "Da'awa" live pale vetenari.
Hivi abrahamovich ana hisa ngapi pale chelsea?Simbilisi mngeingia mkataba kabla ya kuuza 49% hapo labda.
Yanga wameingia mkataba huu kabla ya kuuza hisa. Meaning, asilimia 1oo ni mali ya Club hakuna MO.
Mo kaleta mabadiliko makubwa sana kwenye soka la bongoHoja ya baadhi ya hela kwenda kwa Mo me naona imekaa kijinga sana na wanaochochea ni watu wenye roho za korosho kwa kuhisi kuwa Mo atafaidika sana.
Ikiwa kabla ya huo mkataba huyo Mo aliifanyia Simba Sc sawasawa na matakwa ya kisheria na kila shabiki akaona mafanikio, inakuwaje leo mnataka kumuona kama mwizi ambae atatokomea na hizo fedha? Yani wakati anaikuta simba haina kitu mlifurahi yeye kutoa hela zake kwaajili ya Simba ila leo hii baada ya kuona pesa zinaanza kuingia Simba ndo mumuone hafai? Daaaaah[emoji23], kweli wabongo nyoko.
Na utakuta wanachangia maoni negative kuhusu Mo, hawajawahi kutoa hata 50 kwaajili ya Simba Sc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo wachawi sana mkuu.Mo kaleta mabadiliko makubwa sana kwenye soka la bongo
Kuchukuliwa Yanga kisha Simba Sc iachwe ni sawa na mbu kuwa na mifupa.Yote yanawezekana. Kwani umeambiwa sifa za watakaotakiwa kuwemo kwenye CAF super League?
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Wabongo wachawi sana mkuu.
Haya endelea kulazimisha kalio lako litafune muwa, maana mzee Mpili kawaaminisha kila lisilowezekana litawezekana tu.Mikia bwana kwa kukulupuka soma comment ya niliyoMQUOTE na nilicho COMMENT mimi
Kisha linganisha na ulichoandika km utaona vina uhusiano
Yule zeruzeru amewaharibu sana kwa kulopokalopoka usichokielewa
Sasa kama ya yanga hayanihusu wewe ya simba yanakuhusu vipi hadi unauliza simba ina uwanja?Kukosa uwanja hilo ni tatizo la Yanga wala halikuhusu,nyie si mlikuwa mnashangilia hapa kila kukicha kwa kuuza nusu nzima ya timu kwa bilioni 20 hewa[emoji23]...kwanza Simba nayo ina uwanja???
MBUMBUMBU WAMEGAWANA TIMUkwani Mbumbumbu wanasemaje?
vipi mo arunaKlabu ya mpira haina uwanja wa mpira hata wa kupigia danadana halafu inajivunia kuwa na Tv, kweli utopolo ni utopolo.