Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Hicho kitu hakiwezi tokea. Yanga na Simba ziko level mojaUkiona wameenda yanga ujue wamaingia na simba pia....kwa simba dau lotakua kubwa zaidi.
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho kitu hakiwezi tokea. Yanga na Simba ziko level mojaUkiona wameenda yanga ujue wamaingia na simba pia....kwa simba dau lotakua kubwa zaidi.
Bila kujua kuwa hata Simba nao wanafanya negotiationsUsifanye mchezo na 20 billion brother unaweza kununua bankView attachment 1845999
Kwa hiyo zile pesa anazotoa Mwamedi anawalipa Simba wa hifadhi ipi? Serengeti au ngorongoro?Yanga inayodaiwa kua ya wananchi, niambie kwenye hiyo bilion 34.5 aliyoweka azam we mwananchi yakwako bei gani?
Simba inategemea sana mitandao ya kijamii kama vile Instagram na Tweeter. Pia ina viongozi ambao ni kama celebrities, kwa mfano Haji Manara na Mo Dewji. Wana followers wengi, hata Barbara Gonzalez.
Ubovu wa hili kwenye negotiations za Media Partnership ni kuwa itabidi kurasa hizi ziache kuandika na kuonyesha baadhi ya matukio.
Yaani mimi kama AZAM nachukua hizi pages kama competition na itabidi unihakikishie kuwa utaacha kupost mambo ya Simba kabla ya kuniuliza na kuhakikisha hazitaleta migogoro.
This is Negative.
Pia Azam wataangalia siku Yanga ikicheza viewrship ipo vipi na siku Simba ikicheza viewership ipo vipi hasa kwenye TV.
Na mauzo ya Jezi pamoja na merchandise.
Halafu Simba nusu ya mapato yataenda kwa mtu binafsi, anaweza akatumia hizo hela kununua tambuu au kuwapa Simba. Hiyo ni juu yake.
Upende usipende, kwenye hili Yanga wamewapiga bao Simba.
Muulize mwandishi yeyote wa habari hapa Tanzania atakuambia mashabiki wa Yanga wanatumia sana Traditional Media (Press, TV na redio). Hata Yanga iwe chini vipi itaandikwa Front page. Hii ni plus kwenye ku-negotiate TV rights. Azam hawako sana kwenye social media. Kwa kifupi, hawako kabisa na huiangalia social media kama competition.Unachotaka kusema ni kwamba Bumbuli, Nugaz, Mwakalebela, Haji Mfikirwa, Senzo n.k hawaposti chochote kinachohusu Yanga SC kwenye social media accounts zao ?
Kama hivyo ndivyo ilivyo, kwanini Simba (ambayo inadhoofishwa na akina Haji, Mo, Barbara, n.k) ina fan base kubwa zaidi ya Yanga huko huko kwenye social media ?
Haipo kwenye kisimbusi cha DirectTVKwani we hukuangalia azam live?
Levo moja kivipi? Thamani ya simba afrika sio kama ya yanga...Hicho kitu hakiwezi tokea. Yanga na Simba ziko level moja
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Umemjibu kiufundi sana chief, safiItachukua muda sana kuanza kueleweshana. Ni vizuri kama tuendelee tu na mambo mengine kwa sasa.
Nakushauri ujitahidi, upo nyuma kwa kiasi fulani and it shows.
Sorry, not to sound standoffish or nothin.
Thamani ya Simba ni kiasi gani?Levo moja kivipi? Thamani ya simba afrika sio kama ya yanga...
Zaidi ya yanga
Aliziona blah blah za Mo.. kwa deal hii ingekuwa simba, Mo angeshaingiza B20 mfukoni, chukueni 14 na kina Manara kula mill 10 10 au 5 kwisha kesho anaita press anatukana waandishi [emoji38]Katika wazungumzaji wote kwenye tukio la leo, nimemkubali Bw. Senzo Mbatha. Jamaa anaijua vizuri football industry na masuala ya contract management. Ukimfuatilia anavyojenga hoja zake na kujibu maswali, yaani mpaka raha. Sielewi kwa nini hakudumu pale Msimbazi. Walimwacha mtu muhimu sana. Ninadhani ndiye engineer wa masuala yote mazuri pale Jangwani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zaidi ya yanga
Kupewa atapewa, ila imagine nusu ya pesa hizo anabeba Mo.. hata akawanyweshe watu bar siku 3 ni juu yake.Usemacho ni kweli na kuna uwezekano Simba akapewa dili nono zaidi maana ana fanbase kubwa hata uwanjani Simba ndio huongoza
Muulize mwandishi yeyote wa habari hapa Tanzania atakuambia mashabiki wa Yanga wanatumia sana Traditional Media (Press, TV na redio). Hata Yanga iwe chini vipi itaandikwa Front page. Hii ni plus kwenye ku-negotiate TV rights. Azam hawako sana kwenye social media. Kwa kifupi, hawako kabisa na huiangalia social media kama competition.
Big up kwa Tido Mhando, amekula sambamba na Social Media, AZAM ni kama inatawala entertainment na sports (traditional kama vile movies, series na michezo ukiondoa bongo fleva).
Simba mashabiki wake wapo sana mitandaoni. Na Simba imetawala Social Media kiasi kwamba hadi viongozi wake ni kama competitors wa traditional media. Siyo jambo baya na wala sitashangaa, Simba ikiwa mbishi kama Azam atataka ku-negotiate jinsi ya ku-limit contents za Social Media.
Kwa mfano, AZAM wakitaka ku-produce documentary ya Safari ya Simba Kigoma wakawaambia Haji Manara, Barbara na wengine waache kupost picha zao au video zao wakiwa na kina Asha Baraka Instagram. Wakakubali, bado kuna probability kubwa ya watu wengi kushindwa kufuatilia Azam na kusubiri mpaka mitandao ianze ku-quote AZAM.
Hata Social media za Simba zina negative effect kwa sababu ndiyo source kubwa ya habari kwa wanachama na mashabiki wa Simba. Kwa bahati mbaya hazilipi na ni mshindani wa Traditional media. Simba ikishinda, magazeti unapata kirahisi tofauti na Yanga.
Mlivyo ushabikia mkataba kumbe hamjui content zake.Nafikiri ukiacha za ligi michezo ya kirafiki, maziezi, mahojianl na makala zitakuwa zinaonyeshwa kwenye channel ya Yanga kwenye kingamuzi cha Azam
Kwa ufupi, more time on social media, means less time on traditional media. Kwa hiyo?Mkuu umeongea vizuri, ila kwa maoni yangu umeenda kwenye "wrong context".
Fahamu ya kwamba hao "wafuasi" wa kwenye social media wamefuata habari (Simba SC na mambo yake).
Hivyo watayafuata hayo mambo ya Simba popote pale yanapowekwa (huko kwenye TV).
Kwahiyo fan base kubwa kwenye social inakuongezea nguvu kwenye negotiations (tayari una watu).
Kuhusu competition, kwa dunia ya sasa, social media sio mashindani wa traditional media. Ila ni complementary package.
Nitatoa mifano;-
1. Clouds TV na Clouds Fm wana akaunti Instagram na Twitter.
2. Wasafi FM na TV nao wanazo akaunti kwenye mitandao ya kijamii.
3. Azam TV ana akaunti za mitandao ya kijamii.
N.k n.k
Unadhani hawa jamaa wanafanya hivyo kwa bahati mbaya ?
Unadhani wao wana lengo la kuji-compete (kama ulivyoeleza) ?
Na kama utataka kulithibitisha hili kwa vitendo, anzisha kituo cha redio halafu kisiwe na social media accounts, utakuja na majibu mazuri sana.
Actually, moja ya sababu zilizosababisha Radio Free Africa kupoteza ukuu wake ni pamoja na kuto capitalise social media.
Hivyo basi, fanbase kubwa kwenye social media ni advantage kwenye negotiations tajwa hapo juu. Maana yake wewe unao ushahidi wa wazi kwamba unatakwa, unafuatiliwa. Na yeye Azam kama mtu wa TV anachojali ni watazamaji utakaompelekea ili nayeye hela yake irudi.
Tajiri yao anasema ni 20 billion..! Mpaka nembo ya Club..