rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
nawapongeza Yanga hili litawafumbua macho Simba waliokuwa wakidanganywa thamani ya klabu yao kuwa 49% ni bilioni 20.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea kishabiki sanaSimba inategemea sana mitandao ya kijamii kama vile Instagram na Tweeter. Pia ina viongozi ambao ni kama celebrities, kwa mfano Haji Manara na Mo Dewji. Wana followers wengi, hata Barbara Gonzalez.
Ubovu wa hili kwenye negotiations za Media Partnership ni kuwa itabidi kurasa hizi ziache kuandika na kuonyesha baadhi ya matukio.
Yaani mimi kama AZAM nachukua hizi pages kama competition na itabidi unihakikishie kuwa utaacha kupost mambo ya Simba kabla ya kuniuliza na kuhakikisha hazitaleta migogoro.
This is Negative.
Pia Azam wataangalia siku Yanga ikicheza viewrship ipo vipi na siku Simba ikicheza viewership ipo vipi hasa kwenye TV.
Na mauzo ya Jezi pamoja na merchandise.
Halafu Simba nusu ya mapato yataenda kwa mtu binafsi, anaweza akatumia hizo hela kununua tambuu au kuwapa Simba. Hiyo ni juu yake.
Upende usipende, kwenye hili Yanga wamewapiga bao Simba.
Kulalamika kule, ndiyo kumeipa Yanga Bilioni 34.8 na serikali VAT ya karibu Bilioni 8.Wabongo bwana.Karia alipoingia mkataba watu walitoka povu humu ohhh kwanini miaka 10 kwanini isiwe 5 leo imeingia timu pendwa mkataba wa miaka 10ile ile wote wsmerudi kusifia.ama kweli wajinga ndio waliwao.
Boss wetu Mo atakubali kweli kwa mshindani wake kwenye biashara?Simba inafatia
Social media inaingilia nini TV rights?Pole sana aisee.
Utopolo huwa hawaelewiSocial media inaingilia nini TV rights?
Man U ana social media , app na Man U TV vipi vimeingiliana?
Mkataba wao unaongezeka kiwango cha malipo wakati wa kwetu hakuna alafu ile 20 bil. uwenda imejumuisha na VAT.Wabongo bwana.Karia alipoingia mkataba watu walitoka povu humu ohhh kwanini miaka 10 kwanini isiwe 5 leo imeingia timu pendwa mkataba wa miaka 10ile ile wote wsmerudi kusifia.ama kweli wajinga ndio waliwao.
MO ni mwekezaji mzuri sana, tena sana hilo halina ubishi mkuu. Ila sisi ambao tumeangalia huu mpira na kuufuatilia kwa muda mrefu tunaona kuna tatizo la sustainability.
MO anaingia hasara kubwa, ila kwa mapenzi yake hilo siyo tatizo. Manji naye ilikuwa hivyohivyo, Hasanali Gulamali, Dewji wa Yanga, Mohamedi Virani etc nao wote wamepita na wametuachia wachezaji expensive tusioweza kuwalipa.
Mungu aepushe hili, ila naye MO akipita zake, akarithi mtu ambaye ni ukoo wake ila hayuko yari kujitolea kama MO, mtafanyaje?
Tatizo ni sustainability. Bilioni 20 kwa Simba siyo nyingi, simba itengenezewe mazingira ya kujiendesha yenyewe yaliyo mazuri.
Simba ingekuwa na miundombinu yake na mikataba yake mizuri na wachezaji wake wenye thamani kabla ya kutoa tenda ya uwekezaji. Ingekuwa timu moja kubwa sana.
Usiridhike na ubingwa uliotokana na Yanga kufungwa na Coastal. Siyo kwamba Simba kamfunika yanga 1 to 1.
Wabongo bwana.Karia alipoingia mkataba watu walitoka povu humu ohhh kwanini miaka 10 kwanini isiwe 5 leo imeingia timu pendwa mkataba wa miaka 10ile ile wote wsmerudi kusifia.ama kweli wajinga ndio waliwao.
Social media inaingilia nini TV rights?
Man U ana social media , app na Man U TV vipi vimeingiliana?
Contents zao ni tofauti, na haki za hizo media platforms zipo tofauti.Social media inaingilia nini TV rights?
Man U ana social media , app na Man U TV vipi vimeingiliana?
Mo anawatesa sana nyinyi vidimbwi na bado kuna moto wa gesi kaandaa kuwachoma zaidi msimu ujao.Ahaa wapi. Labda Mo Dewji hasiwepo.
Yanga inayodaiwa kua ya wananchi, niambie kwenye hiyo bilion 34.5 aliyoweka azam we mwananchi yakwako bei gani?Tofauti mkataba wa Simba mmiliki Ni Familia ya Mohamed Dewji Mo, hapo ndipo Yanga African wamepiga bao kubwa.
Page ya barbra na Mo zinatangaza habari za club?Contents zao ni tofauti, na haki za hizo media platforms zipo tofauti.
MANUTV inakuja first kwenye video contents, zingine zinafuata.
Pia pages za Viongozi wao hazitangazi mambo ya Club, tofauti na pages za MO au Barbara.
Acha masihara mkuuJezi ya 35,000 ila mgao wa yanga ni 1,500 afu GSM 33,500
Ebu tuliongelee hili kwanza