Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Tulia Acha wivu wa kikeniMlivyo ushabikia mkataba kumbe hamjui content zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia Acha wivu wa kikeniMlivyo ushabikia mkataba kumbe hamjui content zake.
Siku zote layman's mnakuwaga na confidence sana,hasa mkiona werevu wako kimya, mnajua kuwateka wajinga wenzenu,nakusoma hapa nabaki nacheka tu..Simbilisi mngeingia mkataba kabla ya kuuza 49% hapo labda.
Yanga wameingia mkataba huu kabla ya kuuza hisa. Meaning, asilimia 1oo ni mali ya Club hakuna MO.
Ubingwa msahau bado maana simba ndio kunamwagika hela zaidi...NAIONA YANGA YANGU YA MABADILIKO
Unajua kwa nini caf wamechagua timu kadhaa kubwa kushiriki league cup na simba ikiwemo toka afrika mashariki?
Layman's uwa mnanifurahisha sana!!lazima uweke na lugha ya malkia ili uonekane una shule[emoji23][emoji23][emoji23] layman's wa kibongo mna mbwembwe,sijajua ma-layman wa uko kwa malkia uwa wanachombeza kwa lugha gani kuwakamata mazumbukuku meupe?! Itakuwa wanaweka kiswahili kidogo,maana ma-layman ya uku yanachombeza ki-inglishi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Keep laughing ....
It's good for you.
Ungeweka hicho kitu fikirishi watu wangekuona kweli wewe una hoja fikirishiUkisoma comment za uzi huu zinasikitisha sana. Unaona tabia halisi za watanzania wengi, kufuata mkumbo, kutopenda kujipa muda wa kuelewa mambo na chuki. Hawaelewi utamaduni wa soka letu ulivyo. Wanapenda kutazama kitu halisi kuliko kitu fikirishi.
I thought you were laughing ....Layman's uwa mnanifurahisha sana!!lazima uweke na lugha ya malkia ili uonekane una shule[emoji23][emoji23][emoji23] layman's wa kibongo mna mbwembwe,sijajua ma-layman wa uko kwa malkia uwa wanachombeza kwa lugha gani kuwakamata mazumbukuku meupe?! Itakuwa wanaweka kiswahili kidogo,maana ma-layman ya uku yanachombeza ki-inglishi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Muulize mwandishi yeyote wa habari hapa Tanzania atakuambia mashabiki wa Yanga wanatumia sana Traditional Media (Press, TV na redio). Hata Yanga iwe chini vipi itaandikwa Front page. Hii ni plus kwenye ku-negotiate TV rights. Azam hawako sana kwenye social media. Kwa kifupi, hawako kabisa na huiangalia social media kama competition.
Big up kwa Tido Mhando, amekula sambamba na Social Media, AZAM ni kama inatawala entertainment na sports (traditional kama vile movies, series na michezo ukiondoa bongo fleva).
Simba mashabiki wake wapo sana mitandaoni. Na Simba imetawala Social Media kiasi kwamba hadi viongozi wake ni kama competitors wa traditional media. Siyo jambo baya na wala sitashangaa, Simba ikiwa mbishi kama Azam atataka ku-negotiate jinsi ya ku-limit contents za Social Media.
Kwa mfano, AZAM wakitaka ku-produce documentary ya Safari ya Simba Kigoma wakawaambia Haji Manara, Barbara na wengine waache kupost picha zao au video zao wakiwa na kina Asha Baraka Instagram. Wakakubali, bado kuna probability kubwa ya watu wengi kushindwa kufuatilia Azam na kusubiri mpaka mitandao ianze ku-quote AZAM.
Hata Social media za Simba zina negative effect kwa sababu ndiyo source kubwa ya habari kwa wanachama na mashabiki wa Simba. Kwa bahati mbaya hazilipi na ni mshindani wa Traditional media. Simba ikishinda, magazeti unapata kirahisi tofauti na Yanga.
Ili kuokoa muda wetu, si ungeelezea concept ilivyo?Concept ya azam media ku partner na Yanga katika rights za matangazo inawezekana umepitiliza kuelewa au haujaelewa kabisaaa.
Hakuna timu ambayo imehakikishiwa kuwemo kwenye CAF super league. Yaliyopo ni hisia za waandishi wa michezo tu. Labda ulete ushahidi wako hapa ndio ntajibu swali lako.Unajua kwa nini caf wamechagua timu kadhaa kubwa kushiriki league cup na simba ikiwemo toka afrika mashariki?
Unaposema kwamba Azam haja-base kwenye social media na anaiona kama ni mshindani wa TV una maana gani ?Muulize mwandishi yeyote wa habari hapa Tanzania atakuambia mashabiki wa Yanga wanatumia sana Traditional Media (Press, TV na redio). Hata Yanga iwe chini vipi itaandikwa Front page. Hii ni plus kwenye ku-negotiate TV rights. Azam hawako sana kwenye social media. Kwa kifupi, hawako kabisa na huiangalia social media kama competition.
Big up kwa Tido Mhando, amekula sambamba na Social Media, AZAM ni kama inatawala entertainment na sports (traditional kama vile movies, series na michezo ukiondoa bongo fleva).
Simba mashabiki wake wapo sana mitandaoni. Na Simba imetawala Social Media kiasi kwamba hadi viongozi wake ni kama competitors wa traditional media. Siyo jambo baya na wala sitashangaa, Simba ikiwa mbishi kama Azam atataka ku-negotiate jinsi ya ku-limit contents za Social Media.
Kwa mfano, AZAM wakitaka ku-produce documentary ya Safari ya Simba Kigoma wakawaambia Haji Manara, Barbara na wengine waache kupost picha zao au video zao wakiwa na kina Asha Baraka Instagram. Wakakubali, bado kuna probability kubwa ya watu wengi kushindwa kufuatilia Azam na kusubiri mpaka mitandao ianze ku-quote AZAM.
Hata Social media za Simba zina negative effect kwa sababu ndiyo source kubwa ya habari kwa wanachama na mashabiki wa Simba. Kwa bahati mbaya hazilipi na ni mshindani wa Traditional media. Simba ikishinda, magazeti unapata kirahisi tofauti na Yanga.
Kwahiyo wewe unaamini itachukuliwa Yanga ikaachwa Simba ?Hakuna timu ambayo imehakikishiwa kuwemo kwenye CAF super league. Yaliyopo ni hisia za waandishi wa michezo tu. Labda ulete ushahidi wako hapa ndio ntajibu swali lako.
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Ili kuokoa muda wetu, si ungeelezea concept ilivyo?
Na kurekebisha nilipoelewa tofauti ili nielewe vizuri.
Go str8 to the point .
Kwa ufupi, more time on social media, means less time on traditional media. Kwa hiyo?
1. Huwezi negotiate kuwa watu wako wanaangalia zaidi TV.
2. Kwenye michezo, hasa football broadcasting traditionally bado inaongoza hasa kwenye live TV kwa sababu by nature, sports ni vitu vya kuangalia watu wengi na siyo peke yako kwenye simu au laptop (njia kuu ya social media siyo ISPTV).
3. Especially kwa Tanzania, miundombinu extensive na bei rahisi ni Radio na Satelite TV, siyo Azam app. Hivyo uangalizi wa Traditional media ni kipaumbele zaidi.