Yanga yaingia mkataba wa Tsh Bilioni 34.8 na Azam Media

Yanga yaingia mkataba wa Tsh Bilioni 34.8 na Azam Media

Hakika Yanga mmewapiga Bao Simba kwa huo mkataba mnono wa zaidi ya Billioni 34.
Hongera nyingi kwenu.

Nina uhakika kuanzia sasa mtakuwa na timu Bora kabisa katika ukanda wetu huu wa Afrika Mashariki na Kati.

Tunasubiri matunda ya haya mafanikio mliofikia.

Ile lialia ya Bakuli natumai hatutaisikia tena.
 
Sasa unasimamia wapi mkuu ?

Social media (mfano page ya insta ya AzamTV) ni mshindani wa traditional media (Azam TV channels) ?...
Wewe fuatilia mgogoro wa Simba na AZAM kuhusu Simba Day Youtube clip.

Usipende ubishi usio na manufaa.
 
Katika wazungumzaji wote kwenye tukio la leo, nimemkubali Bw. Senzo Mbatha. Jamaa anaijua vizuri football industry na masuala ya contract management. Ukimfuatilia anavyojenga hoja zake na kujibu maswali, yaani mpaka raha. Sielewi kwa nini hakudumu pale Msimbazi. Walimwacha mtu muhimu sana. Ninadhani ndiye engineer wa masuala yote mazuri pale Jangwani.
Pamoja na kuuza kalenda? Au umelisahau tukukumbushe [emoji23][emoji23][emoji23]
Juzi mkutano mkuu ulisikia mapato ya kalenda?

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 
Simbilisi mngeingia mkataba kabla ya kuuza 49% hapo labda.
Yanga wameingia mkataba huu kabla ya kuuza hisa. Meaning, asilimia 1oo ni mali ya Club hakuna MO.
Wewe jamaa inaonyesha elimu yako ndogo sana. Mo ana hisa 49% anawezaje kumiliki Simba 100% hizo hisa zingine 51% je?
Hebu ficha uji.nga wako

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 
Kulalamika kule, ndiyo kumeipa Yanga Bilioni 34.8 na serikali VAT ya karibu Bilioni 8.
Ile hela pekee haikutosha hasa kwa Simba na Yanga, zilistahili fedha zaidi.
Au wewe uliona poa tu maisha yaendelee?
Wewe jamaa ni mjinga 34.8b + 8b = 42.8b [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo za ziada analipa mkeo?


Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 
H
Tukiacha ushabiki wetu wa kawaida, watani zetu Mikia wana la kujiuliza kuhusu kiasi cha uwekezaji wa Mo. Huenda hiyo 19.5 B ikaonekana kiduchu.
Simba na Mo waboreshe kiwango cha fedha.
Hicho ndicho kitakachokwenda kutokea, wabadilishe mfumo tajiri mmoja hodhi asilimia 49 pekee yake, yawezekana kwa sasa wanachukulia poa, kwasababu simba wanafanya vizuri, ikija kuwa tofauti unabeba lawama ndipo migogoro inaanza na mwekezaji
 
Wabongo hawaeleweki, Mo kaipeleka simba kwenye levels za juu sana,

Hilo halina ubishi ila kwenye mfumo wa kuingoza timu hajafanikiwa, mfumo uliopo sio endelevu siku MO akipata shida kwa biashara yake kama ilivyotokea kwa Manji ndiyo mwisho wa simba.
 
Wewe fuatilia mgogoro wa Simba na AZAM kuhusu Simba Day Youtube clip.
Usipende ubishi usio na manufaa.

Hujajibu swali la Mwanamaji naomba nikukumbushe swali alilokuuliza,Azam Tv ana Account Instagram yenye 3.5M followers,je hiyo Account ni Competitor wa Azam Tv Channel? Hayo ya yeye kwenda kufuatilia mgogoro wa Simba Day youtube yaache kwanza.
 
Hakuna timu ambayo imehakikishiwa kuwemo kwenye CAF super league. Yaliyopo ni hisia za waandishi wa michezo tu. Labda ulete ushahidi wako hapa ndio ntajibu swali lako.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Yawezekana uko sahihi ila kama ni hisia pia, kwa nini Simba na si yanga au gor mahia au the express?
 
Jibu swali mkuu, acha kunituma nikafuatilie migogoro.

Imebidi nicheke,Ameliona swali na akajua kabisa jibu lake litakuja kumaliza hoja zake zote alizoweka hapa tangu mwanzo wa Uzi huu,akaamua kudivert makusudi kwa kukutuma ukaangalie mgogoro wa Simba day youtube.
 
Tukiacha ushabiki wetu wa kawaida, watani zetu Mikia wana la kujiuliza kuhusu kiasi cha uwekezaji wa Mo. Huenda hiyo 19.5 B ikaonekana kiduchu.
Simba na Mo waboreshe kiwango cha fedha.
Ona sasa huyu utopolo...anaamini hiyo pesa ndio ile sambamba na ya uwekezaji ya simba...
 
Ila huyu Jamaa Azam group kila kitu yeye hamna matajiri wengine jamani inamaana TANZANIA kuna tajiri mmoja tu mwenyewe idea za kutengeneza Pesa.

Sababu Azam media sifikiri hata inamiaka 10yrs lkn mambo inayo fanya na kujitanua kwenye media industry ni inakwenda speed ya ajabu.

MMUNGU aliye mpa kampa tu hawa jamaa wanaweza wakaja na idea ya kuuza hata MAVUMBI tu ya barabarani wakakamata soko vile vile.
Ila leo nimeona maajabu mpaka sasa sijaona wale wakandiaji wa Azam wanaemuona yule Mzee mikataba
yake ni yakinyonyaji watu leo awahoji kama miaka kumi mingi au midogo?
 
Back
Top Bottom