Yanga yaingia mkataba wa Tsh Bilioni 34.8 na Azam Media

Kwahiyo wakiingia mkataba na Simba hizo hela zitakuwa za Mo.
Hakika Mo kuimiliki Simba kwa bilioni 20 ni wizi mkubwa sana
Hakika mzee kilomoni tutamkumbuka Sana. Ila bado hatujachelewa maana haya mabadiliko kisheria bado hayajapita. Moo anyanganywe timu faster, mkataba uwe reviewed haraka Sana, tukimchekea Nyani tutavuna mabuwa wanasimba wenzangu.
 
Huu mkatba upo kwa vilabu vyote viwili ndio mahana azam kuna kitu kinaitwa simba tv n yanga tv
Simba TV na Yanga TV sasa zina mikataba tofauti.
Mbali ya Ligi kuu, Azam hana exclusive rights za live events za Simba, labda nao waamue ku-negotiate.
Simba anaweza kufanya deal na TV nyingine au akaanzisha TV yake pia.
Hapo Dewji anachukua 49%. Wakati hii exclusive deal ni 100% Young AfRICANS KAMA cLUB.
Wawekezaji watachukua hii kama ni asset ya Yanga kabla ya kuwekeza au kuzungumza.
 
UMEELEZEA KITAALAM SANA MWANANCHI
 
Klabu kongwe ya Young Africans Sports Club leo inaingia mkataba na Azam Media utakaogharimu jumla ya shilingi Bilioni 34.8 (Bilioni 41 with VAT). Mkataba huu utadumu kwa miaka kumi(10) na utafanyiwa marudio/maboresho baada ya miaka mitano.

Akizungumza katkia mkutano na waandishi wa habari, Kaimu Katibu mkuu wa klabu ya Yanga Haji Mfikirwa alisema kuwa mkataba huu, utakua ni kichocheo kwa wadau wote wanaotaka kushirikiana na klabu hii ya Yanga. Kwa mfano, wawekezaji, makampuni ya matangazo n.k.

Kabla ya hapo, Katbu Mwenezi wa klabu ya Yanga Hassan Bumbuli alibainisha kuwa Yanga ndiyo klabu ambayo habari zake zinafuatiliwa sana hewani, magazetini (print) na kidijitali kwa ujumla. Akishukuru, CEO wa AZAM MEDIA ndugu Tido Mhando aliahidi kuboresha huduma ya matangazo inayotolewa na Azam Media. kalabu ya Yanga itakuwa inapokea jumla ya Shilingi 200 kwa mwezi, ambazo zitaongezeka kwa jumla ya milioni 20 kila mwaka hadi kufikia milioni 380 kwa mwezi.

Klabu ya Yanga itaweza kupokea hadi shilingi Bilioni 5.9 kwa mwaka kama Media rights ambapo kwa miaka kumi (10), watapokea kiasi cha Shilingi Bilioni 52.4 (jumlisha VAT).

Klabu nyingine pia zinakaribishwa kuingia mkataba na Azam Media.

My Take:
Simba (Vunjabei Sports Club) tunasubiri mkataba wenu.

Kwa East Africa
Azam Media
wako mbali sana.
 
Katika wazungumzaji wote kwenye tukio la leo, nimemkubali Bw. Senzo Mbatha. Jamaa anaijua vizuri football industry na masuala ya contract management. Ukimfuatilia anavyojenga hoja zake na kujibu maswali, yaani mpaka raha. Sielewi kwa nini hakudumu pale Msimbazi. Walimwacha mtu muhimu sana. Ninadhani ndiye engineer wa masuala yote mazuri pale Jangwani.
 
Klabu kongwe ya Young Africans Sports Club leo inaingia mkataba na Azam Media utakaogharimu jumla ya shilingi Bilioni 34.8 (Bilioni 41 with VAT). Mkataba huu utadumu kwa miaka kumi(10) na utafanyiwa marudio/maboresho baada ya miaka mitano.

Akizungumza katkia mkutano na waandishi wa habari, Kaimu Katibu mkuu wa klabu ya Yanga Haji Mfikirwa alisema kuwa mkataba huu, utakua ni kichocheo kwa wadau wote wanaotaka kushirikiana na klabu hii ya Yanga. Kwa mfano, wawekezaji, makampuni ya matangazo n.k.

Kabla ya hapo, Katbu Mwenezi wa klabu ya Yanga Hassan Bumbuli alibainisha kuwa Yanga ndiyo klabu ambayo habari zake zinafuatiliwa sana hewani, magazetini (print) na kidijitali kwa ujumla. Akishukuru, CEO wa AZAM MEDIA ndugu Tido Mhando aliahidi kuboresha huduma ya matangazo inayotolewa na Azam Media. kalabu ya Yanga itakuwa inapokea jumla ya Shilingi 200 kwa mwezi, ambazo zitaongezeka kwa jumla ya milioni 20 kila mwaka hadi kufikia milioni 380 kwa mwezi.

Klabu ya Yanga itaweza kupokea hadi shilingi Bilioni 5.9 kwa mwaka kama Media rights ambapo kwa miaka kumi (10), watapokea kiasi cha Shilingi Bilioni 52.4 (jumlisha VAT).

Klabu nyingine pia zinakaribishwa kuingia mkataba na Azam Media.

My Take:
Simba (Vunjabei Sports Club) tunasubiri mkataba wenu.
Ukiona wameenda yanga ujue wameingia na simba pia....kwa simba dau litakua kubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom