Yanga yaingia mkataba wa Tsh Bilioni 34.8 na Azam Media

Yanga yaingia mkataba wa Tsh Bilioni 34.8 na Azam Media

Simba TV na Yanga TV sasa zina mikataba tofauti.
Mbali ya Ligi kuu, Azam hana exclusive rights za live events za Simba, labda nao waamue ku-negotiate.
Simba anaweza kufanya deal na TV nyingine au akaanzisha TV yake pia.
Hapo Dewji anachukua 49%. Wakati hii exclusive deal ni 100% Young AfRICANS KAMA cLUB.
Wawekezaji watachukua hii kama ni asset ya Yanga kabla ya kuwekeza au kuzungumza.
Sidhani Kama hao Mbumbumbu wanakuelewa
 
Ukiona wameenda yanga ujue wamaingia na simba pia....kwa simba dau lotakua kubwa zaidi.
Simba inategemea sana mitandao ya kijamii kama vile Instagram na Tweeter. Pia ina viongozi ambao ni kama celebrities, kwa mfano Haji Manara na Mo Dewji. Wana followers wengi, hata Barbara Gonzalez.

Ubovu wa hili kwenye negotiations za Media Partnership ni kuwa itabidi kurasa hizi ziache kuandika na kuonyesha baadhi ya matukio.
Yaani mimi kama AZAM nachukua hizi pages kama competition na itabidi unihakikishie kuwa utaacha kupost mambo ya Simba kabla ya kuniuliza na kuhakikisha hazitaleta migogoro.

This is Negative.
Pia Azam wataangalia siku Yanga ikicheza viewrship ipo vipi na siku Simba ikicheza viewership ipo vipi hasa kwenye TV.
Na mauzo ya Jezi pamoja na merchandise.

Halafu Simba nusu ya mapato yataenda kwa mtu binafsi, anaweza akatumia hizo hela kununua tambuu au kuwapa Simba. Hiyo ni juu yake.

Upende usipende, kwenye hili Yanga wamewapiga bao Simba.
 
Mkuu acha umbumbumbu unaonekana mpiara umeanza fwatilia juzi tu hapa.
Ac Milan wana uwanja wa mpira?
Inter Milan wana uwanja wa mpira?
Acha kutetea ujinga na kukurupuka huku ukijifanya unajua kumbe hamna kitu. Nimekuambia hata uwanja wa kupigia danadana maana yake uwanja wa training. Ac milan wana uwanja wa kisasa kwa ajili ya training unaitwa milanello, pia wa Inter milan unaitwa Suning training centre. Sasa wewe unatetea ujinga kwa hoja ya kukaririshwa.
 
Katika wazungumzaji wote kwenye tukio la leo, nimemkubali Bw. Senzo Mbatha. Jamaa anaijua vizuri football industry na masuala ya contract management. Ukimfuatilia anavyojenga hoja zake na kujibu maswali, yaani mpaka raha. Sielewi kwa nini hakudumu pale Msimbazi. Walimwacha mtu muhimu sana. Ninadhani ndiye engineer wa masuala yote mazuri pale Jangwani.
Tatizo mikia walikuwa wanataka wampangie mpk cha kuongea na kuna mambo ilibidi yeye hayatolee ufafanuzi kitaalamu wanampa yule VUVUZELA ZERUZERU
Kwa mfano manala ndio angekuwa ndio mzungumzaji hapo kwenye tukio la leo angeweza kuzungumza kiufundi namna hiyo zaidi angeingiza mipasho na majivuno

Ndio maana akaamua kuwakimbia
 
Simba TV na Yanga TV sasa zina mikataba tofauti.
Mbali ya Ligi kuu, Azam hana exclusive rights za live events za Simba, labda nao waamue ku-negotiate.
Simba anaweza kufanya deal na TV nyingine au akaanzisha TV yake pia.
Hapo Dewji anachukua 49%. Wakati hii exclusive deal ni 100% Young AfRICANS KAMA cLUB.
Wawekezaji watachukua hii kama ni asset ya Yanga kabla ya kuwekeza au kuzungumza.
Mkuu Sio Kwamba Simba bado haijakamilisha huo mchakato wa muwekezaji kwaiyo unacho kiongea nafikir nadhani na kuhisia

Na vile vile uwepo wa muwekezaji hauizuii kuingia deal na haya makampuni mengine kama sehemu ya biashara zipo taratibu nyingi tuu za kufuata hata kama club ikiwa chini ya muwekezaji?
 
Kukamilisha mchakato kivipi? Lini walisaini huo mkataba na ni wa Shilingi ngapi? Kwa muda gani?
Of course hauzuii, ila wanachama hawawezi kuwa na maamuzi moja kwa moja.
 
Utopolo mtunze maneno yenu siku simba nae akiingia mkataba.

Simba pia wataingia mkataba soon maana kataja watafanya hivyo kwa Simba na yanga na kwa kila club kulingana na ukubwa wake.
 
Azam wanasonga na watazidi kusonga mbele kwa moto mkali zaidi,kama Utopolo wamevuta huo mpunga basi mkataba wa Simba bingwa wa nchi na inayofatiliwa zaidi mpaka nje ya mipaka ya Tanzania watavuta mpunga mrefu zaidi.
 
Itachukua muda sana kuanza kueleweshana. Ni vizuri kama tuendelee tu na mambo mengine kwa sasa.
Nakushauri ujitahidi, upo nyuma kwa kiasi fulani and it shows.
Sorry, not to sound standoffish or nothin.
Hahahaha nimefurahia sana!!!...tunaenda uongo kweli kweli?!!..
 
Back
Top Bottom