Yanga yaingia mkataba wa Tsh Bilioni 34.8 na Azam Media

Kwahiyo wakiingia mkataba na Simba hizo hela zitakuwa za Mo.
Hakika Mo kuimiliki Simba kwa bilioni 20 ni wizi mkubwa sana
Hakika mzee kilomoni tutamkumbuka Sana. Ila bado hatujachelewa maana haya mabadiliko kisheria bado hayajapita. Moo anyanganywe timu faster, mkataba uwe reviewed haraka Sana, tukimchekea Nyani tutavuna mabuwa wanasimba wenzangu.
 
Huu mkatba upo kwa vilabu vyote viwili ndio mahana azam kuna kitu kinaitwa simba tv n yanga tv
Simba TV na Yanga TV sasa zina mikataba tofauti.
Mbali ya Ligi kuu, Azam hana exclusive rights za live events za Simba, labda nao waamue ku-negotiate.
Simba anaweza kufanya deal na TV nyingine au akaanzisha TV yake pia.
Hapo Dewji anachukua 49%. Wakati hii exclusive deal ni 100% Young AfRICANS KAMA cLUB.
Wawekezaji watachukua hii kama ni asset ya Yanga kabla ya kuwekeza au kuzungumza.
 
UMEELEZEA KITAALAM SANA MWANANCHI
 

Kwa East Africa
Azam Media
wako mbali sana.
 
Katika wazungumzaji wote kwenye tukio la leo, nimemkubali Bw. Senzo Mbatha. Jamaa anaijua vizuri football industry na masuala ya contract management. Ukimfuatilia anavyojenga hoja zake na kujibu maswali, yaani mpaka raha. Sielewi kwa nini hakudumu pale Msimbazi. Walimwacha mtu muhimu sana. Ninadhani ndiye engineer wa masuala yote mazuri pale Jangwani.
 
Ukiona wameenda yanga ujue wameingia na simba pia....kwa simba dau litakua kubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…