Yanga yaingia top 5 ya tuzo za club Africa CAF

Hii picha iwekwe kwenye bango la mitaa yetu ya Msimbazi!
 
Boss unaonaje sisi wanazi wa chama la wana yanga tukajitofautisha na wao hakuna haja ya kuitana majina ya ajabu kama hayo sisi tutumie maneno ya kiungwana zaidi kuwaumiza mioyo you! Ni mtazamo tuu
jema wazo
 
Kwa sasa kocha gamondi kazi ya kiufundi ameifanya kwa 90% kilichobaki azidi kuwajenga kisaikolojia vijana kina Dickson Job na kundi lake kuwa hili kombe la cafcl mwaka huu ni Lao .
Yoyote atakayekuja ni Kipigo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…