Yanga yaingia top 5 ya tuzo za club Africa CAF

AFL inaingiaje hapo?Hizo nitakwimu za msimu ulioisha,je mamelodi alikuwa bingwa wa AFL msimu uliopita??
Sawa,kama ni points walizovuna,leta kila timu hapo imevuna points ngapi msimu uliopita labda mjadala ndo utakuwa rahisi
 
hii ngoma ngumu ila tatu bora tunatoboa ahly,wydad na yanga
 
Nimebisha nini mbona unakuwa na kichwa mgando,nimesema kwenye huo mtoano wa top 5 iliyobaki Yanga anamzidi nani kwa takwimu iwe msimu huu au mda wote?
Hapo Yanga anakua wa 4 wa kwanza ni USMA wa pili Al Ahly tatu Wydad nne kiboko yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…