ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Unabishana na CAF?Sasa weka takwimu kwa timu moja moja hapo kwa huo msimu kwenye hao watano Yanga ni wa ngapi? Takwimu ziongee siyo ushabiki,iwe takwimu ya mda wote au kwa huo msimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unabishana na CAF?Sasa weka takwimu kwa timu moja moja hapo kwa huo msimu kwenye hao watano Yanga ni wa ngapi? Takwimu ziongee siyo ushabiki,iwe takwimu ya mda wote au kwa huo msimu
Nimebisha nini mbona unakuwa na kichwa mgando,nimesema kwenye huo mtoano wa top 5 iliyobaki Yanga anamzidi nani kwa takwimu iwe msimu huu au mda wote?Unabishana na CAF?
Sawa,kama ni points walizovuna,leta kila timu hapo imevuna points ngapi msimu uliopita labda mjadala ndo utakuwa rahisiAFL inaingiaje hapo?Hizo nitakwimu za msimu ulioisha,je mamelodi alikuwa bingwa wa AFL msimu uliopita??
Mbumbumbu hawawezi kuficha ujinga waoAFL inaingiaje hapo?Hizo nitakwimu za msimu ulioisha,je mamelodi alikuwa bingwa wa AFL msimu uliopita??
hii ngoma ngumu ila tatu bora tunatoboa ahly,wydad na yanga𝐓𝐎𝐏 𝟓[emoji2956][emoji617]
Baada ya mchujo kutoka 10 bora, Young Africans SC rasmi tumeingia 5 Bora kwenye Tuzo za Klabu Bora ya Mwaka Barani Afrika #cafawards2023
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko🟢🟡
Timu zilizopenya hatua ngumu ya Tano Bora 5 ( no ambayo makolo wanakimbia)[emoji1][emoji23]
1.Mamelodi sundown
2. Al ahly
3. Wydad Casablanca
4. Young Africa
5. USM Alger
NB Maendeleo hayana Chama View attachment 2816505
Hapo Yanga anakua wa 4 wa kwanza ni USMA wa pili Al Ahly tatu Wydad nne kiboko yenuNimebisha nini mbona unakuwa na kichwa mgando,nimesema kwenye huo mtoano wa top 5 iliyobaki Yanga anamzidi nani kwa takwimu iwe msimu huu au mda wote?
Hata hiyo tano Bora sio mbaya, ni hatua kubwa kwakweli.hii ngoma ngumu ila tatu bora tunatoboa ahly,wydad na yanga
Weka points walizovuna msimu huu nani wa mwisho hapo? Kiboko yetu wapi mpaka leo hamjarudisha deni la 6-0 tunawachora tuHapo Yanga anakua wa 4 wa kwanza ni USMA wa pili Al Ahly tatu Wydad nne kiboko yenu
kama wangekua wana hesabu points si tayari wanazo data wangetaja tu bila kuleta pollWeka points walizovuna msimu huu nani wa mwisho hapo? Kiboko yetu wapi mpaka leo hamjarudisha deni la 6-0 tunawachora tu
Hata poll ,vyovyote vile hamtoboi mtakuwa wa mwisho msiache kuleta updates naomba usisahau kunitagkama wangekua wana hesabu points si tayari wanazo data wangetaja tu bila kuleta poll
Asante kwa kushiriki jaribuni tena baadae....
Roho ya kwanini [emoji23]"Wivu sina ila roho inaniuma" Q Chief [emoji1787]View attachment 2816630