OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Fredrick Mwakalebela umesema hautaweza kuvaa jezi yenye nembo nyekundu ambayo ni nembo ya wadhamini wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Vodacom
Mwakalebela amefunguka kwa kusema kuwa hawataweza kuvaa jezi hizo kwani hawana utamaduni wa kuvaa rangi nyekundu ila huvaa rangi ya kijani na njano pamoja na nyeusi
Ameeleza kuwa uwepo wa hali mbaya kiuchumi katika klabu yao isiwe ndio sababu ya kuwafanya wageuke kanuni, taratibu na Katiba ya klabu yao kwani ni jambo ambalo haliwezekani
Aidha, Makamu huyo ameliomba Shirikisho la Soka Nchini (TFF) kupitia Rais wake, Wallace Karia wazungumze na Kampuni ya simu ya Vodacom ili kubadili rangi ya nembo hiyo ndipo wanaweza kuvaa
*******
This is only in Africa
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Ndugu Mwakalabela ametoa taarifa rasmi ya Yanga kukataa kitumia jezi yenye nembo nyekundu ya mdhamini.
Awali Yanga walionyesha kutokuwa tayari kuvaa jezi yenye nembo nyekundu toka kwa kampuni ya Vodacom ambaye ni mdhamini mkuu wa VPL
Mwaka amesema Yanga iko kwenye hali mbaya kifedha lakini hawako tayari kwenda kinyume na katiba.