tony92
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,398
- 3,691
Wawe wakali kivipi? Washakwambia katiba yao hairuhusuTff inabifldi wawe wakali kwenye hili. Yanga wana mambo ya kuzamani ndio maana timu haiendelei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawe wakali kivipi? Washakwambia katiba yao hairuhusuTff inabifldi wawe wakali kwenye hili. Yanga wana mambo ya kuzamani ndio maana timu haiendelei
Shida sio viongozi shida ni katiba ya timu ipo kizamani sanaViongozi wa mpira watuondoe hapa.
Viongozi wanajadili vitu vidogo sana rangi ya logo ya mdhamini,bukta ,pensi na kaptula nk.
Wajadili jinsi ya kuongeza wadhamini kujenga viwanja,kuwa na vitega uchumi vya klabu nk.
waache kujishughulisha na vitu vidogo vidogo.
This is only in Africa
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Ndugu Mwakalabela ametoa taarifa rasmi ya Yanga kukataa kitumia jezi yenye nembo nyekundu ya mdhamini.
Awali Yanga walionyesha kutokuwa tayari kuvaa jezi yenye nembo nyekundu toka kwa kampuni ya Vodacom ambaye ni mdhamini mkuu wa VPL
Mwaka amesema Yanga iko kwenye hali mbaya kifedha lakini hawako tayari kwenda kinyume na katiba.
Inashangaza sanaSasa na wale wachezaji wa simba wanaovalishwa jezi za njano wagome? Kama mpira hatujui hatujui tu rangi hazileti ushindi
Hawajakua hawaDawa ya jeuri ni ujeuri! Wasipewe pesa wakaendelee kupitisha bakuli.
Waondolewe kwa kanuni ipi?Yaani huu ni upuuzi wa hali ya juu, kama wamegomea kuvaa nembo za mdhamini. Waondelewe kwenye ligi. Wakacheze ndondo cup, shida iko wapi?
Washushwe daraja kwa kanuni ipi?Tff wasiokubaliana na hiyo rangi washushwe daraja waache uzamani pumbaf
Waondolewe kwa kanuni ipi?