Yanga yakataa kuvaa nembo nyekundu, ni kinyume na Katiba yao

Yanga yakataa kuvaa nembo nyekundu, ni kinyume na Katiba yao

Simba walivaa nembo ya njano ya Caf kule champions ligi sababu ni kuwa Caf ni kubwa kuliko mikia
 
Hahahahaha lol! Hebu weka ushahidi wa kile nilichoandika humu kuhusu pesa ya mtu yeyote yule! Acha kukurupuka na kuandika upuuzi wako humu! Kushinda mtandaoni haikuhusu kitu sijakuomba bundle na no one on this planet can dictate to me how I live my life. Stop your STUPIDITY.

Ungekuwa na akili ungeshinda mtandaoni kutambia hela za mwanaume mwenzio?
 
Akili kubwa hii ndiyo sababu mpira wa Bongo utabaki kuwa mauzauza tu ujinga mwingi sana. Kuvaa nembo tu ya mdhamini kwa sababu ina rangi nyekundu ni ISSUE KUBWA. Ujinga huu huwezi kuukuta kwenye timu za Europe.

Imani za kijinga,Mimi ni Yanga ila kwani nembo nyekundu inaubaya gani?
 
Kumbe yanga mnataka mkaliwe na tifua tifua.Ebu mifano yako iwe ina fananisha uwiano
Nimetoa mfano huo kwa sababu watu wanataka tuvunje miiko na tamaduni zetu kwa sababu ya pesa za mdhamini...haiwezekani
 
Shida ni katiba ya Young Africans, TFF walikaa na wadau (Team), wana katiba za vilabu? kwani bila vilabu hakuna TFF unless waanzishe timu zao other wise wangewaita Young Africans waitishe Mkutano mkuu kubadilishe kitu hicho full stop. Kwenda kinyume na katiba ni kuvunja katiba bila kujali significance of the matter.
 
Alafu ligi ikikosa mdhamini mnaanza kubwabwaja kipumbavu,mdhamini akipatikana mnaanza upumbavu.
Nawasihi tff wawe wakali katika hili wasikubali kupelekwa na hawa ombaomba ikiwezekana washushwe daraja ili akili iwakae sawa.
Litimu lenyewe halina hata muelekeo halina hata ela ya kuwalisha wachezaji alafu anapatikana wa kuyasaidia yana leta nyodo.
Mmoja wao ni mimi nilikuwa nahoji sana kuhusu tff kupata mdhamini now kapatikana watu wasio na mtazamo wala nia njema na mpira wanataka kuturudisha nyuma hakika wanastahili kushushwa daraja kama watagoma kuvaa nembo ya mdhamini
 
Simba walivaa nembo ya njano ya Caf kule champions ligi sababu ni kuwa Caf ni kubwa kuliko mikia
Kutovaa njano IPO kwenye katiba ya Simba? Kama siyo basis walikuwa huru kuvaa hiyo nembo ya Caf. Ila kwa Yanga ili ni suala LA kikatiba, ambalo linahitaji idhini ya mkutano mkuu.
 
Akili kubwa hii ndiyo sababu mpira wa Bongo utabaki kuwa mauzauza tu ujinga mwingi sana. Kuvaa nembo tu ya mdhamini kwa sababu ina rangi nyekundu ni ISSUE KUBWA. Ujinga huu huwezi kuukuta kwenye timu za Europe.
Ni uprimitive wa hali ya juu. Kabisa yaani.
 
Back
Top Bottom