Yanga yakataa kuvaa nembo nyekundu, ni kinyume na Katiba yao

Yanga yakataa kuvaa nembo nyekundu, ni kinyume na Katiba yao

Kweli ujinga ni mzigo, just nembo, basi waseme size iwe ndogo kama wanaona ina compromise njano na kijani. Dawa yao ni kuwaacha nyuma tu!
 
Hawa wapumbavu muda si mrefu watataka wawe na damu ya kijani au njano, watagoma kucheza uwanja wowote wenye rangi red, hawatakalia mabenchi red...
 
Hebu acha kuandika upumbavu! Tamaduni zimeandikwa wapi wewe!? Acheni kuwa na mawazo ya ujima!!!! Kwani wakivaa hiyo nembo watakuwa si yanga tena bali ni Simba?

Mnalalamika nini sasa? Si mkatafute mdhamini wenu mwenye rangi za jangwani badala ya kulia lia!?😳😳😳

Kwanin unaamin kitu unachoamini ndo sahihi, wenzako wanasema ni kinyume na katiba na tamaduni zao we unabisha nin mke,
 
Yanga ni Kubwa sana kuliko Simba, TFF, Vodacom n.k. ukitaka Ku prove hilo fuatilia hili sakata uone wataonyoosha mikono juu. Manguo mekundu wavae walio kwenye siku yao(simba day). Usithubutu kutuletea wananchi huo ushenzi tutakugonga makonde urudi na manundu
Kwani hakuna wakubwa wajinga?..
 
Mimi ni Yanga lkn siwezi kuunga mkono upuzi,ujinga,ushamba na umbumbu kama huo
Watu wenye akili timamu hawawezi kuikata logo ya mdhamini wa ligi kisa eti ina rangi nyekundu
Kama Yanga wataikataa logo ya mdhamini hawastaili kupata hata shilingi moja kutoka kwa mdhamini
 
Back
Top Bottom