jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Tff mwaka huu unapaswa kujua Yanga sio watumwa tunajar katiba ambayo mmeisaji baraza la michezo bmtl
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ndio madhara ya kula matikiti maji kupita kiasi
Unauliza swali la ajabu sanaWanakataa nembo nyekundu ya mdhamini kwa kanuni ipi?
Katiba ya yanga ina uhusiano gani na mdhamini wa ligi?
Vodacom wanaihitaji Yanga kuliko Young Africans Sports Club "The Citizen Team" inavyowahitaji vodaKwa akili hizi mtazidi kuwa ombaomba mpaka mwisho,yaani leo ombaomba iwe kubwa kuliko vodacom.
Ndugu si unaona Voda na TFF wameufyata?Usifanye mchezo na hii timu ya wananchi. Achana na timu ya waarabu na wahindiUkubwa wao unaishia jangwani TFF haiwezi kukubali kuyakosa mabilioni ya mdhamini. Wakatafute mdhamini wao awape nembo yenye rangi za njano na kijani.
Mmenyuti kwa sababu kitimu Chennu kidogo na hakiwezi kusikilizwaHuo udwazi tu, kile kinembo kinaathiri nini? Mbona TFF wametuletea jezi za Taifa Stars za njano (mazarau haya [emoji35]) lakini mabaharia tumenyuti tu!
Katiba yetu inasema ni mwiko alama yoyote iliyo nyekundu kuhusishwa na timu yetu. Hivyo usijali tuiheshimu katiba ya timu yetuImani za kijinga,Mimi ni Yanga ila kwani nembo nyekundu inaubaya gani?
Tikitiki maji fc ingekuwa kubwa zaidi ya tff basi mechi ya ruvu ingechezwa tarehe aliyo kuwa anaitaka msemaji wenu zaera.Ndugu si unaona Voda na TFF wameufyata?Usifanye mchezo na hii timu ya wananchi. Achana na timu ya waarabu na wahindi
Hawawezi nakuhakikishia. Yanga ni Kubwa kuliko TFFTFF Mara Hii Wahakikishe Hawa Wahuni Wanavaa Rangi Yoyote
Karia atanyooka. Yanga ni Kubwa sana kuliko tff siyo karia Bali TffKabisaa ktk hili tff ishasema kabisa kila mtu aheshimu makubaliano ya mdhamini yanga watqnyooka labda sio kwa Kalia
Bora timu ivunjwe na tugawane hadi soksi za wachezaji lakini siyo kutuvesha vialama vyenye virangi tusivyovielewaSio utamaduni wetu....hatutovaa nyekundu kamwee bora tushuke darajaa
Simba wanacheza mchangani sahizi kwani ilitokana na kumgomea mdhamini au uwezo Mdogo!?Kwa ujinga ujinga kama huo ndiyo maana timu za bongo zitaishia kucheza ligi ya mchangani tu WAPUUZI wengi sana.
Na asiyependezwa na tamko la uongozi aende huko atakako atuachie Yanga yetu ya kijani na njano + nyeusi inapobidiKatiba yetu hairuhusu...hatutoikanyaga katiba na hatutoruhusu tff ya simba ikanyage katiba yetu
Hapana Man U huwa hawana siku zao ila kuna timu moja ya muhindi ipo hapa nyumbani inavaa jezi nyekundu ndo huwa wanaweka tamasha wanapokuwa kwenye siku yaoKwenye profile yako naona kuna mchezaj kavaa jezi nyekundu, hongera kwa kuwa kwenye siku zako mkuu
Kwani madhara hapo ni nini? Mdhamini kakubali, Tff kakubali nyie mnahangaika na mnalalamika na nini?Mimi ni Yanga lkn siwezi kuunga mkono upuzi,ujinga,ushamba na umbumbu kama huo
Watu wenye akili timamu hawawezi kuikata logo ya mdhamini wa ligi kisa eti ina rangi nyekundu
Kama Yanga wataikataa logo ya mdhamini hawastaili kupata hata shilingi moja kutoka kwa mdhamini
Simba wanacheza mchangani sahizi kwani ilitokana na kumgomea mdhamini au uwezo Mdogo!?
Ndugu si unaona Voda na TFF wameufyata?Usifanye mchezo na hii timu ya wananchi. Achana na timu ya waarabu na wahindi