Yanga yakataa kuvaa nembo nyekundu, ni kinyume na Katiba yao

Yanga yakataa kuvaa nembo nyekundu, ni kinyume na Katiba yao

Nashukuru kwa kutoishabikia timu yenye mawazo kinyesi kama hii
Ndo vijana wa digital na busara zao, hakika umetukosea ila tunasema Asante mungu ni mwema kila wakati, inshaallah
 
Kila chekundu ni haram kwa yanga?
Kila chekundu ni simba?
Katiba haiwezi kubadilika kukiwa na hoja ya msingi na maridhiano?
Kama vilabu viko huru kiasi hiki basi TFF sio sehemu kubwa ya wakwamishaji wa soka letu
 
Kwanin unaamin kitu unachoamini ndo sahihi, wenzako wanasema ni kinyume na katiba na tamaduni zao we unabisha nin mke,
Mi siwezi kuamini alichosema Mwakalebela kwa sababu Kwenye press conference hiyo hiyo amedanganya kua TFF waliwahujumu Kwenye siku ya mwananchi wakaweka Mechi ya marudiano na Kenya siku ya jmosi ambayo ni siku moja kabla ya siku ya mwananchi.
Tujuulize hivi mechi ya Chan qualification wanapanga TFF au CAFU.
Pili, Kwenye hiyo mechi Kenya ndo alikua mwenyeji, Je, TFF walihusikaje kusema mechi hiyo iwe jmosi kwa ajili ya kuwarubuni Yanga.
Hili la kusema katiba yao hairuhusu, Je, hii sheria ya kua kama timu itagomea nembo ya mdhamini imetungwa baada ya Vodacom kuingia au ilikuwepo muda?
Kama ilikuwepo kwa nini Yanga wasubiri saizi mdhamini amepatikana ndo wasema hawatavaa?
Kwa nini wasingeipinga mapema kabla ya kutokea?
Kwenye hili nataka nione ka sheria zinatungwa kwa ajili ya kuendesha mpira wa Tanzania au kwa ajili ya timu ndogo tofauti na Simba na Yanga.
Chama cha soka Italy hakikuangalia ukubwa wa Juvetus, ila walishushwa kwa sheria.
 
Shadeeya mnakwama wapi aisee
69942464_2430648603884104_2110570487150018560_n.jpeg
 
Mirangi Nyekundu ya kichawi hiyo hatuvai ng'o
Kama wanataka voda waweke wao njano kwanini wakazanie hiyo tu? Potelea mbali tutaenda kucheza ligi ya zenji Kama vioi
 
Mzee huu mfano mbona ni irrelevant inaelekea walimu wako walipata sana shida wakati wa enzi zako
Kwanini mzee baba??

Jamaa ka comment yanga wana shida ya fedha lakini bado wanagomea kuvaa hizo nembo za mdhamini..ndio nikamwambia wewe ukiwa nashida upo tayari mtu akupe pesa umalize shida zako halafu atake advantage yakulala na mkeo??
 
Inamaana hata matikiti hawali kwasasababu nayo ni mekundu
 
Ndo vijana wa digital na busara zao, hakika umetukosea ila tunasema Asante mungu ni mwema kila wakati, inshaallah
Hakika mkuu, naye kaona kaweka bonge LA comment kumbe matapishi tu. Kumbuka kimtokacho MTU kinywani mwake kina reflect directly personality yake na kuwaza kwake pia.
 
Kama suala la rangi liko kikatiba, Yanga wako sahihi.... labda kwa wasiojua nguvu ya Katiba.
Ikiwa kuna haja ya kubadilisha katiba ili iendane na matakwa ya TFF, inabidi uitishwe mkutano wa wanachama waidhinishe mabadiliko hayo
 
Ila hela ya mdhamini wanaitaka,Basi wawatafute wao wadhamini wa ligi wenye logo wanayoitaka wao basi
 
Back
Top Bottom