Yanga yakataa kuvaa nembo nyekundu, ni kinyume na Katiba yao

Kwa nini hao voda hawataki kubadili wao
 
Yanga acheni ujinga wenu n mda wwakupevuka ki mawazo na ki akili mbna sisi simba tunavaa logo ya CAF club bingwa akati n ya kijani?tumieni akili acheni mambo ya ujima
 
Unauliza swali la ajabu sana
Yanga ni taasisi yenye sheria na taratibu zake na ndo maana ina muongozo wake unaoitwa katiba.
Kutoka nje ya katiba maana yake ni kukiuka misingi ya taasisi.
Hata mdhamini ana misingi yake..
 
Udhamini wa million 300 kwa mwaka na timu 20?
Kuna udhamini au ushuzi? Mnufaika ni TFF na hasa Msomali. Watanzania sijui nani katuloga.
Udhamini ni 3B kwa mwaka timu 20..Baadae 18.. baadae 16
 
Zaidii ya nusu ya wateja wa Vodacom ni Yanga..Mwaga mboga tumwage ugali na Voda wanalijua hilo maana huko nyuma walikubali..Msomali Yanga ni kubwa kulliko unavyofikiria..utaiuwa Voda
 
Zaidii ya nusu ya wateja wa Vodacom ni Yanga..Mwaga mboga tumwage ugali na Voda wanalijua hilo maana huko nyuma walikubali..Msomali Yanga ni kubwa kulliko unavyofikiria..utaiuwa Voda
Voda ni wafanya biashara. Wamegoma kuingia Kwenye mtego wa Msomali.
 
Zaidii ya nusu ya wateja wa Vodacom ni Yanga..Mwaga mboga tumwage ugali na Voda wanalijua hilo maana huko nyuma walikubali..Msomali Yanga ni kubwa kulliko unavyofikiria..utaiuwa Voda
Kweli mkuu, wakileta ujinga wao tunapiga chini line za voda. Wamwage ugali nasi tumalizie mboga. Kama mbwai mbwai.
 
Wewe siyo shabiki wa Yanga Bali mamluki. Ungekuwa usingesupport suala LA kuvunja katiba.
 
Wewe siyo shabiki wa Yanga Bali mamluki. Ungekuwa usingesupport suala LA kuvunja katiba.
Mkuu mimi pia shabiki wa Yanga kindakindaki. Sion mantiki ya jezi zetu kutokuwa na alama nyekundu ya mdhamini. Ingekuwa jezi inabadilishwa rangi sawa tungeandamana. Huu night upumbavu. Nino mwana ya ukwaju na brand?
 
Bora tukacheze ndondo lakini sio kuvaa nyekundu sawa na muislam bora ufe njaa kuliko kula kitimoto
 
Hembu tuwekeeni hiyo katiba ya yanga inayo kataa rangi nyekundu na nyeupe inayoweza kukubali rangi zingine. Na mtuambie kwanini viatu vyenye rangi nyekundu na nyeupe mnavaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…