mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
hyo timu ni mabogaz sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ushamba huo wasomi wazima wanang'ang'ania mambo ya kizamani hebu badilikeni wakina Mwakalebela mimi mwenyewe ni yanga lakini hiyo ni biashara acheni kuchezea biashara ya watu kwani ikiwa nyekundu kuna tatizo gani acheni ujinga tuliwaamini ili mtumpeleke sehem nyingine lakini naona mnaturudisha kwa akina Akilimali
Tff inabifldi wawe wakali kwenye hili. Yanga wana mambo ya kuzamani ndio maana timu haiendelei
Hata mdhamini ana misingi yake..Unauliza swali la ajabu sana
Yanga ni taasisi yenye sheria na taratibu zake na ndo maana ina muongozo wake unaoitwa katiba.
Kutoka nje ya katiba maana yake ni kukiuka misingi ya taasisi.
Ushamba tu ndugu.. ingekuwa jezi ndio red hapo sawa.Mpaka hapo Katiba itakapobadilishwa otherwise kwa Katiba iliyopo NO RED COLOUR
Udhamini ni 3B kwa mwaka timu 20..Baadae 18.. baadae 16Udhamini wa million 300 kwa mwaka na timu 20?
Kuna udhamini au ushuzi? Mnufaika ni TFF na hasa Msomali. Watanzania sijui nani katuloga.
Voda ni wafanya biashara. Wamegoma kuingia Kwenye mtego wa Msomali.Zaidii ya nusu ya wateja wa Vodacom ni Yanga..Mwaga mboga tumwage ugali na Voda wanalijua hilo maana huko nyuma walikubali..Msomali Yanga ni kubwa kulliko unavyofikiria..utaiuwa Voda
Kweli mkuu, wakileta ujinga wao tunapiga chini line za voda. Wamwage ugali nasi tumalizie mboga. Kama mbwai mbwai.Zaidii ya nusu ya wateja wa Vodacom ni Yanga..Mwaga mboga tumwage ugali na Voda wanalijua hilo maana huko nyuma walikubali..Msomali Yanga ni kubwa kulliko unavyofikiria..utaiuwa Voda
Wewe siyo shabiki wa Yanga Bali mamluki. Ungekuwa usingesupport suala LA kuvunja katiba.Mimi ni shabiki wa Yanga, ila hicho tunachokifanya ni utoto tena utoto hasa. Unapungukiwa nini kuvaa jezi yenye nembo ya rangi fulani ?. Ingekuwa mdhamini anakulazimisha ubadili kabisa rangi ya jezi zako sawa. Shida moja kubwa na inayofanya soka letu lisikue ni kufanya maamuzi huku ukimfikiria adui/mpinzani wako badala ya kufikiria mustakabali wako hapo mbeleni.
Sioni haja ya kuomba mazungumzo na Vodacom. Kwamba wawaombe vodacom wabadili logo ?
Na je kama kila timu wakisema waje na ujinga kama huu wa kwetu nini kitafuata ?
Mkuu mimi pia shabiki wa Yanga kindakindaki. Sion mantiki ya jezi zetu kutokuwa na alama nyekundu ya mdhamini. Ingekuwa jezi inabadilishwa rangi sawa tungeandamana. Huu night upumbavu. Nino mwana ya ukwaju na brand?Wewe siyo shabiki wa Yanga Bali mamluki. Ungekuwa usingesupport suala LA kuvunja katiba.
Inamaana rangi nyekundu na nyeupe ni za simba peke yake kwenye VPL ?Line sio mavazi ya uwanjani nyekundu ni kinyume na katiba