Yanga yakataa kuvaa nembo nyekundu, ni kinyume na Katiba yao

Mkuu kuna watu WAPUUZI sana.

 
Yanga wanaogopa kufanywa kinyume na maumbile kwa kuvaa nemo nyekundu
Labda wanaogopa wanaweza ambukizwa tabia ya kuingia kwenye siku zao kama mnavyokuaga kwenye siku zenu tena kwa maadhimisho ya tamasha kubwa (Simba day) kwa ajili ya kutambulisha walio kwenye siku yao mbele ya wenye siku yao
 
Mechi hapangi CAFU Wa Brazil Bali CAF shirikisho la soka
 
Kama suala la rangi liko kikatiba, Yanga wako sahihi.... labda kwa wasiojua nguvu ya Katiba.
Ikiwa kuna haja ya kubadilisha katiba ili iendane na matakwa ya TFF, inabidi uitishwe mkutano wa wanachama waidhinishe mabadiliko hayo
Watu wanachukulia poa
 
Unaelewa nini ninaposema timu za bongo? Simba ni ya Uingereza!? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ujinga na umbumbumbu Wa simba(in Rage's voice) usiulete kwa yanga. Simba ndo anaishia kucheza mchangani hapo usiwalinganishe na wakimataifa
 
Hahahahaha ama kweli NYANI HAONI KUNDULE 😂😂😂😂😂😂😂😂

Ujinga na umbumbumbu Wa simba(in Rage's voice) usiulete kwa yanga. Simba ndo anaishia kucheza mchangani hapo usiwalinganishe na wakimataifa
 
Soka la bongo halitaendelea KAMWE kwa kuongozwa na WAPUUZI ambao wako tayari kususia mabilioni ya mdhamini kisa hawako tayari kuvaa nembo ya mdhamini yenye rangi nyekundu!!!! Katafuteni mdhamini mwenye nembo ya rangi za jangwani.
Mdhamini mwenyewe anawaogopa yanga. Mdhamini anawahitaji yanga kuliko yanga inavyomuhitaji yeye,hapo lazima akate kauli na atembezwe mwendo Wa shoto kulia!
 
Hana ULAZIMA wowote wa kuwapa Yanga mgao. Wanaweza kabisa kuamua kuendelea na udhamini na kusema kwamba kwa kuwa kandambili wamegomea kuvaa nembo senti moja yetu hawataigusa na hakuna yeyote yule ATATIA NENO.

Mdhamini mwenyewe anawaogopa yanga. Mdhamini anawahitaji yanga kuliko yanga inavyomuhitaji yeye,hapo lazima akate kauli na atembezwe mwendo Wa shoto kulia!
 
Huu upumbavu upo kwa viongozi lakini si kwa wachezaji. Wachezaji kila siku wanahama simba kwenda yanga na yanga kwenda simba na huvaa jezi husika
 
Kwani wameambiwa wanavaa jezi nyekundu au jezi ya njano kua na nembo nyekundu
Kutovaa njano IPO kwenye katiba ya Simba? Kama siyo basis walikuwa huru kuvaa hiyo nembo ya Caf. Ila kwa Yanga ili ni suala LA kikatiba, ambalo linahitaji idhini ya mkutano mkuu.
 
Vodacom wanaihitaji Yanga kuliko Young Africans Sports Club "The Citizen Team" inavyowahitaji voda
Kivipi?
Logically tufanye yanga haipo ktk udhaminí baad ya kukataa. Wanacheza bila nembo ya voda. Uwanjani waaenda cheza na timu pinzani. Watu wanakuja angalia kama kawaida ila mgao wa voda yanga hawapati. Hapo ni kwamba yanga wanatumika ila hawapãti hata senti...labda watoke mashindanoni,
 
Mimi ni shabiki wa Yanga, ila hicho tunachokifanya ni utoto tena utoto hasa. Unapungukiwa nini kuvaa jezi yenye nembo ya rangi fulani ?. Ingekuwa mdhamini anakulazimisha ubadili kabisa rangi ya jezi zako sawa. Shida moja kubwa na inayofanya soka letu lisikue ni kufanya maamuzi huku ukimfikiria adui/mpinzani wako badala ya kufikiria mustakabali wako hapo mbeleni.

Sioni haja ya kuomba mazungumzo na Vodacom. Kwamba wawaombe vodacom wabadili logo ?

Na je kama kila timu wakisema waje na ujinga kama huu wa kwetu nini kitafuata ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…