Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

Utopolo ametopoloka! Utopolo haibebeki!! Utopolo alizawadiwa penati akashindwa kumeza!!
Coastal 1- 0 Utopolo!!
Renzo njoo huku kumenoga!!
 
wagosi wanang'ang'ana kuuchomoa mwiko nyuma, je, watafanikiwa? dakika 90 zitatujibu
 
Yaani hawa Yanga wanacheza Kama kikundi fulani hivi Cha wahuni uwanjani !!

Hebu badilikeni bana mnatutia aibu nyie timu kubwa acheni utopolo huo.

Huyu sarpong kazi ya kuanguka anguka tu muda wote daah hebu kazeni bana.
 
Ile defence iliyokua inapata clean sheet almost kila game mzunguko wa kwanza imeenda wapi?
 
Back
Top Bottom