Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hawezi tena,utepe umeshakatwa njia nyeupee,watu watakuwa wanajipigia tu iko nje nje kama ya mbuzi vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi tena,utepe umeshakatwa njia nyeupee,watu watakuwa wanajipigia tu iko nje nje kama ya mbuzi vile
Wamepigwa tena. Kesho wanapigwa tena 1 bila majibu
Yanga hawana wasiwasi, pamoja na kufungwa na Coastal union bado wanaongoza ligi ya VPL kwa tofauti ya point 4.
Yanga hawana wasiwasi, pamoja na kufungwa na Coastal union bado wanaongoza ligi ya VPL kwa tofauti ya point 4.
Simba wanachonga sana wakati Yanga ndio kinara wa ligi mpaka sasa 😂😂😂
Haya sasa.
Duuh!! Yaani ubusy wako wote ukaisha Mtani. Lol.
Hiyo ni Tisa, kumi ni tarehe 8 may 2021! Utopolo utamhurumia! Ni vizuri Nabi asifungue mabegi yake, maana ndiye mbuzi wa kafara aliyepo mkononi!Azam wamepiga pale pale kwenye mshono wa Coastal Union, kudadadeq walahi!!!