Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani huyu dada atakaemuona mwambieni namuhitaji sana kwa kazi maalum ya kuhakiki mikeka yangu loh!!!!!Yanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
Uko hai?🥵🥵🥵 Atakushuru nani? Labda ujishukuru mwenyewe.
Hamna wachezaji TalentedHuu ndo ubaya wa kuwa unbeaten, yani kila timu inasaka nafasi ya kubunja hiyo rekodi, ndiyo maana tunakutana na ugumu mwingi sanaaa, nadhani wachezaj hawajapewa hii elimu ya ugumu tunaoupata[emoji38]
Wanaenda CAS ku appealHatimaye bikra imetoka..mna lipi la kutuambia wana utopolo?
Tapeli huyuKwani kuna habari gani?View attachment 1717254
majaliwa ya Yanga kubaki kileleni ni kuchacha kwa viporo vya Simba...[emoji196][emoji196][emoji196]HAVICHACHI NG'O...!!!![emoji196][emoji196][emoji196]Baada ya mzunguko wa kwanza Yanga kuifunga Coastal union bao 3-0, leo Coastal Union wamesema wanachezea heshima kwa uwanja wake wa nyumbani na kocha Mgunda amejigamba atakuwa wa kwanza kuifunga Yanga msimu huu.
Yanga inahitaji matokeo kuendelea kujiweka vizuri kileleni lakini uwanja wa Mkwakwani umekuwa haumpi matokeo ya uhakika kwenye misimu ya karibuni.
Kuwa nami kukujuza yatakayojiri uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
=======
Mechi zilizochezwa mapema leo
FT' Polisi Tanzania 1-0 KMC | Sheikh Amri Abeid
FT' Mtibwa Sugar 0-0 Biashara UTD | Jamhuri
FT' Tanzania Prisons 1-1 Mbeya City FC
=======
00' Mwamuzi anapuliza kipenga kuashiria mwanzo wa mcho na Coastal wanaanza kusukuma guzi
06' Yanga inapata penati baada ya Kipemba wa Coastal kumuweka chini mchezaji wa Yanga
08' Tuisila Kisinda anashindwa kufunga penati, mlinda mlango wa Coastal anasimama imara na kuidaka penalt.
10' Coastal wanaweka bao la kwanza baada ya Erick Msagati kupiga shuti mpira uliokuwa unaamba goli la Yanga ulioanzia mpira wa adhabu ndogo
19' Feisal Salum anajaribu shuti la kushtukiza lakini mlinda mlango wa Coastal alikuwa yuko makini na kuuondoa kwenye hatari
32' Yaqub anaingia kuchukua nafasi ya Sarpong kwa upande wa Yanga
37' Tuisila Kisinda anasawazisha, Coastal Union 1-1 Yanga
40' Farid Mussa anashindwa kuongeza bao la pili kwa Yanga baada ya kubaki na mlinda mlango
45' Mpira unaenda mapumziko
46' Mpira umesharejea kutoka mapumziko, Coastal 1-1 Yanga
53' Deus Kaseke anajaribu kupiga shuti lakini mpira unapaa juu ya lango la Coastal Union
64' Mfungaji wa Goli la Coastal, Erick Msagati anakwenda bench na nafasi yake kuchukuliwa na Issa Abusheikh
72' Omari Majimengi najaribu kuitanguliza Coastal kwa mkwaju mkali lakini mlinda mlango wa Yanga anasimama imara
83' Mudathir Abdallah anaweka goli la pili kwa shuti kali lililopita na wavu na kuipa uongozi Coastal Union
90' Dakika tano zinaongezwa kumaliza mtanange
90+5' Coastal Union inatamba uwanja wake wa nyumbani kwa kuichapa Yanga magoli 2-1.
Yanga inashindwa kutamba uwanja wa Mkwakwani dhidi ya Coastal union kwa mwaka wa sita mfululizo na inapoteza mechi yake ya kwanza ligi kuu Bara, majaliwa ya Yanga kubaki kileleni ni kuchacha kwa viporo vya Simba
Hawezi tena,utepe umeshakatwa njia nyeupee,watu watakuwa wanajipigia tu iko nje nje kama ya mbuzi vilemajaliwa ya Yanga kubaki kileleni ni kuchacha kwa viporo vya Simba...[emoji196][emoji196][emoji196]HAVICHACHI NG'O...!!!![emoji196][emoji196][emoji196]
Kichwa Kichafu utopoloo unaumia ukiwa wapi??
.MVUA IMENYESHA SASA NI MUDA WA KUTAFUTA MATOBO YANAYOVUJA
Anaandika @exaud_msaka_hqbari
Kufungwa Yanga ilikuwa ni swala la kusubiri, yani ni kama kumuona Tembo juu ya mti ni kusubiri maana ataanguka tu
Ilikuwa inashangaza mpira wanaocheza Yanga kwa mechi za karibuni alafu unaambiwa hawajapoteza mchezo.
Mechi Tano za nyuma zilikuwa zinaonesha kabisa kuwa Yanga anafungwa Siku yoyote na wao walikuwa wanajua hilo
Yanga shukuruni Mungu mmefungwa sasa ili mjue shida iko wapi, maana ushindi na sare vilikuwa vinawafanya mdhani kikosi chenu hakina mapungufu
Yanga haina shida ya kocha ina shida ya wachezaji, wachezaji wao ndio wale ile ndio kiwango chao kabisa wala wasilaumiwe
Kama watamtimua Kaze watakuwa wanamuonea tu ila hana uwezo wa kubadilisha aina ile ya wachezaji, hana uwezo wa kumfanya Farid akapata goli kama lile alilokosa pale
Ubingwa wa Tanzania ni Mchakato sana na unahitaji kusubiri na kujipanga, sio kuamka na kuahidi tusipochukua mtuulize
Sasa Yanga wakae chini kistarabu waulizane tuna shida gani na tunaifanyaje, maana sasa Marefa na TFF hawahusikiView attachment 1717307
we mtoto mwanga jmn.. 👀Yanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
Piga hao mbwaaaaaa mamamamaamaaeeeee🥵🥵🥵 Atakushuru nani? Labda ujishukuru mwenyewe.
Awakuomba ilikua mechi ya FA ovyo ovyo wangetolwa kwa mpira ule ilikua ni mechi muhimu kabisaMi nahisi Yanga ndio haina hadhi ya kuwa na supoko
Kwasababu ukianza kuangalia utaweza kujiuliza kipi kilichowafanya ken gold waombe mechi na yanga na sio simba?
Ken gold waliona yanga ndio timu ambayo wana wiana uwezo na ni kweli na ndio maana hata gemu ken gold alicheza vizuri kumzidi yanga japo walibustiwa na kile ki penalty
Na ndio maana hata baada ya ushindi huo 99% mashabiki wa yanga hawakuufurahia huo ushindi
Tayari kwa kuchomolewa mwiko huko nyuma 😂😂😂😂Hivi ndivyo Kidimbwi alivyojilengesha kwa Wagosi leoView attachment 1717384
Naona we ndiye mganga wa hiyo mechi. Bila shaka huduma yako ilikuwa sahihi.Yanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye