Hawezi tena,utepe umeshakatwa njia nyeupee,watu watakuwa wanajipigia tu iko nje nje kama ya mbuzi vile
Wamepigwa tena. Kesho wanapigwa tena 1 bila majibu
Yanga hawana wasiwasi, pamoja na kufungwa na Coastal union bado wanaongoza ligi ya VPL kwa tofauti ya point 4.
Yanga hawana wasiwasi, pamoja na kufungwa na Coastal union bado wanaongoza ligi ya VPL kwa tofauti ya point 4.
Simba wanachonga sana wakati Yanga ndio kinara wa ligi mpaka sasa πππ
Haya sasa.
Duuh!! Yaani ubusy wako wote ukaisha Mtani. Lol.πππ
Hiyo ni Tisa, kumi ni tarehe 8 may 2021! Utopolo utamhurumia! Ni vizuri Nabi asifungue mabegi yake, maana ndiye mbuzi wa kafara aliyepo mkononi!Azam wamepiga pale pale kwenye mshono wa Coastal Union, kudadadeq walahi!!!