Imeenda kwao JangwaniIle defence iliyokua inapata clean sheet almost kila game mzunguko wa kwanza imeenda wapi?
Costal Union wanaupiga mwingi kama kaka yake.Utopolo anapigiwa mwingi
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Mpaka sasa Lamine Moro kapoteza mipira Kama mitano hivi ya hatari sana ambayo kama washambuliaji wangekuwa makini basi ingewagharimu utopolo.Ile defence iliyokua inapata clean sheet almost kila game mzunguko wa kwanza imeenda wapi?
Kiukweli sisi mashabiki wa Yanga tunaishi kwa shida sanaaaa😁, mchawi n hela tu. Viongozi wawalipe wachezaji hela zao la sivyo tutashika hadi nafasi ya tatu🤔🤔Hata penalty zenyewe kupiga hatuwezi
Atakuwa amechukua hela kwa Mo huyuMpaka sasa Lamine Moro kapoteza mipira Kama mitano hivi ya hatari sana ambayo kama washambuliaji wangekuwa makini basi ingewagharimu utopolo.
Huwa wanalilia Penart za bure huku uwezo wa kuzitumia hawana.Hata penalty zenyewe kupiga hatuwezi
Wapewe penalt hahaaaaaa si wanataka kupakatwa kila mara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunaonewaaaaaaaaa
Tunahujumiwaaaaaaaaaa
Bingwa ameandaliwaaaaaaaaaaa
Tutasusaaaaaaaaaaa
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
"Aamin"na iwe ivyo Inshallah.Huwa wanalilia Penart za bure huku uwezo wa kuzitumia hawana.
Game ishaisha hii. Goli hilo moja la Coast linalindwa hadi dk 90
Hapana kwa mpira ulivyo wanaweza kuchomoa Kama wataacha huu utopolo wa kujiangusha ovyo hawa kina Sarpong ananiuzi sana huyu jamaa amekuwa laini laini mno kama Kalinyo.na leo yanga hachomoki
washukuru kipigo?Yanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
Sio kwamba Yanga wanafungwa 2 kwa 0?😃Yanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye