Yanga yakung'utwa 2-1 huu ni mwanzo tu

Yanga Ilistahiri Kunyweshwa Kikombe Kilichofurika Namna Hiyo
Ndiyo Ukweli
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Baba leo hatukua serious as ni friendly match, suburini movie la kutisha linakuja mkuu, utayakana haya maneno😂
 
Hivi yule ni kipa au pazia ? si bora Kabwili tu !
 
Yanga kwa Sasa Wana timu nzuri Sana, kufungwa mechi moja au mbili watafungwa Ila kwa ishu ya timu ya Vikombe Kwasasa ipo. Namuona Onyango na Wawa wakijuta kuja kwa Moloko na Djuma ni shida ya mjini Kwasasa.
moloko wa jana au kuna mwingine?
 
pakuanzia wananchi tudai chenji kwa kofi maana mizigo aloingia nayo stejini sio ya nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…