Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kufungwa sio issue, ila aliewafunga anaitwa kapumbuSimba mnachonga sana wakati na nyie walewale tu, ebu tuacheni na siku yetu muhimu bana, tumefungwa sawa ila siyo mbaya next time tutaua mtu[emoji23]
Yanga Ni Sikio La KufaWenzao wanaandaa timu, wao wanaandaa tamasha
Baba leo hatukua serious as ni friendly match, suburini movie la kutisha linakuja mkuu, utayakana haya maneno😂Mtawafunga Wanigeria? Thubutuuu.
Ndio,kwa Mkapa mnaweza mkajitutumua.Ila kule machinjioni Surulele mtaliwa kiboga na ndo mtakatupwa nje ya CAFCL.
Nyinyi si mliona ni rahisi Simba ilipowapiga wale Wanageria?Mnafikiri nanyi mtaweza? Simba ilipoifunga Nkana mkasema Simba imecheza na timu ya kichovu.Leo Zanaco wamewafanya nini? NA NINAKWAMBIA HATA HAO NKANA WANGEWAGONGENI VIZURI TU.
View attachment 1915443
Huyu ndiyo kipa tuliambiwa anadaka mpaka mishale
mpira tu ndio unampa shida, Ingekuwa mshale angedaka.View attachment 1915443
Huyu ndiyo kipa tuliambiwa anadaka mpaka mishale
bora nisubiri rede nitaona hata chupi,sio kusubiri utopoloBaba leo hatukua serious as ni friendly match, suburini movie la kutisha linakuja mkuu, utayakana haya maneno😂
😂😂😂 unamaanisha hiyo pumbu yake ndiyo imefanyaje sasa, mkuu tutagombana ujue nnavoipenda Yanga🙌kufungwa sio issue, ila aliewafunga anaitwa kapumbu
Mkuu 😂 hayaabora nisubiri rede nitaona hata chupi,sio kusubiri utopolo
Kidagala Kimpoza KinegaWazaramo wanasema
Zilongwa mbali, zitendwa mbali
Hivi yule ni kipa au pazia ? si bora Kabwili tu !View attachment 1915355
FT Yanga 1 - 2 Zanaco
Soka sio kipompipompi, soka sio makelele midomo mirefu..Soka ni mipango. Huu ni mwanzo tu. Nawaambia kabla ya TPL kuanza mtakuwa nje CAFCL.
Kwa wale wasiofahamu ni kwamba leo Yanga imecheza mechi 3. Under 20 wamechezea kichapo kitamu. Yanga Princes wametoa droo. Utopolo wenyewe wamechezea cha kulalia.
Kifupi TPL imeisha cha msingi ni kuandaa lawama tu kwa TFF.
Kapumbu maana yake pumbu kadogo,kazuri na kasafi, Kelvin KAPUMBU alifanya yake![emoji23][emoji23][emoji23] unamaanisha hiyo pumbu yake ndiyo imefanyaje sasa, mkuu tutagombana ujue nnavoipenda Yanga[emoji119]
moloko wa jana au kuna mwingine?Yanga kwa Sasa Wana timu nzuri Sana, kufungwa mechi moja au mbili watafungwa Ila kwa ishu ya timu ya Vikombe Kwasasa ipo. Namuona Onyango na Wawa wakijuta kuja kwa Moloko na Djuma ni shida ya mjini Kwasasa.
Ya 70 watambe?...ya 800 hukowale wale kivipi. Timu ya 14 Afrika unailinganisha na timu ya 70
pakuanzia wananchi tudai chenji kwa kofi maana mizigo aloingia nayo stejini sio ya nchi hiiView attachment 1915355
FT Yanga 1 - 2 Zanaco
Soka sio kipompipompi, soka sio makelele midomo mirefu..Soka ni mipango. Huu ni mwanzo tu. Nawaambia kabla ya TPL kuanza mtakuwa nje CAFCL.
Kwa wale wasiofahamu ni kwamba leo Yanga imecheza mechi 3. Under 20 wamechezea kichapo kitamu. Yanga Princes wametoa droo. Utopolo wenyewe wamechezea cha kulalia.
Kifupi TPL imeisha cha msingi ni kuandaa lawama tu kwa TFF.